Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

Hilo namba 1 watu wanalipigia chapuo sana
Hawapendi ndugu wa Mume plus mama mkwe!Wana kisasi Cha kijinga hata Cha miaka 10,,

Hawana shukrani hata uwafanyie nini!!ni wabinafsi sana!

Mkoa wa njombe ndio unaongoza kwa wanawake kwenda gerezani Tena Kwa kuwajeruhi au kuua wanaume!!

Japo ni wavumilivu wenye kuyatunza maumivu siku wakilipuka ni kifo au jeraha!
 
Unafki,unaweza dhani anakuchekea kweli kumbe anatarget nawe....siku ya kukugeuka ni moja tu.Kilakitu kibaya wamefichia kwenye ukimya wao
 
umenena,,ndo nilivo pia nakutunzia upuuzi wako na kuvumilia siku nikisanuka utajutaaaaaa.....😃
 
Unafki,unaweza dhani anakuchekea kweli kumbe anatarget nawe....siku ya kukugeuka ni moja tu.Kilakitu kibaya wamefichia kwenye ukimya wao
uvumilivu una mwisho lakini😆
 
Nadhani ndo hicho wanacho....unamkwaza ana pretend amepotezea,siku kikiwaka... umepotea mazima duniani
yani hapo dada usiseme ndicho wanacho,,coz unaniongelea mimi m'bena pure kabisa,,ila kuua na kujeruhi siwezi nna maamuzi yangu fulani ivi.
 
🤣🤣🤣 Kumbe ni wewe🤣🤣🙌
 
Mara nyingi at secondary stage ya maendeleo ya kifamilia ndio ana apply Ili abaki mwenyewe na watoto,Tena anakuambia "NENDAGA TU UNIACHIE WATOTO"UKIMPATA MWINGINE WE NENDA KABISA" kumbe siku zote alikaa kimya for purpose na Target!

Bora mcharuko anaemaliza Kwa kelele kuliko anaecheka huku akisubiri kwa hamu unase kwa mtego!
tusamehe bwana tutajirekebisha
 
Mbaya sana
 
Sema nmejiharbia,kuna kajamaa kalkua kananpga sound pm naona kamenilima kitofali baada ya kujua mie m'bena 😔
Wanaume wapo wengi sana, perfect one hakimbii hata uwe na mapungufu gani.Tulia
 
Back
Top Bottom