To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tunapenda sana kulamatumbo hua yanajua kukubali,sjui ndo hua yanajaa upendo wa waume zenu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapenda sana kulamatumbo hua yanajua kukubali,sjui ndo hua yanajaa upendo wa waume zenu😂
Basi wacha nimsubiri mwingineWanaume wapo wengi sana, perfect one hakimbii hata uwe na mapungufu gani.Tulia
tusamehe bwana tutajirekebisha
Tabia haisamehewi huanzishiwa tabia nyingine!!!Ukisamehe tabia utalia siku zote!!!tusamehe bwana tutajirekebisha
hata mpigwe stress vipi kula hamuachiiiTunapenda sana kula
daaah mimi naahidi kubadilika kabisaaaTabia haisamehewi huanzishiwa tabia nyingine!!!Ukisamehe tabia utalia siku zote!!!
Haya yote ni matokeo ya STEREO TYPING..!!!Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia
2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi
3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara
4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa
5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.
KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini
Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.
View attachment 2883317
Kwa vile nakuja Mbeya, nitapata uhakika wa hili..!!Nimenenepa ka puto...Mungu aingilie kati kwa kweliðŸ¤
🤣🥴Kwa vile nakuja Mbeya, nitapata uhakika wa hili..!!
😂🤣😂Machame.
Sana Sanawachaga mbona nao wake n wife material
MtwaraWewe wa wapi?
Njoo kwanguWakuu nna mademu wawili ambao sifa zao zinakaribiana, Mmoja ni Mchaga,mwingine mkinga ninashindwa kufanya maamuzi niende na yupi?
Mmh! Kila la heri.Mtwara
Vipi unawajua tabia zao?Mmh! Kila la heri.
Oa mkuu lakini awe bikraVipi jamani wanawake wa kihangaza wana sifa zipi?
Numeishi nao kabisa na kidogo tu nioe huko wako vizuri lakini mchunguze kwanzaVipi unawajua tabia zao?