Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Hapa kwenye kipengele cha Makabila KIMBEMBE, Ongeza na Morogoro, Mtwara na wale wa kule Bukoba.
Huko hawaoni shida kuzaa kila mtoto na Baba yake. wanafundishwa kwenye unyago kuwa Kumyima mtu kitu ni dhambi.
Hivyo wakiolewa na mwanaume wa kabila lao wanawezana kitabia
Post ya hovyo sana.
Kwa katika makabila hayo wanawake wote wapo safi?
Swala la kuoa linategemea hasa mtu husika kuliko kabila.
Mfano, umeenda kuoa kwenye familia ya kishirikina huwezi kutoboa hata akiwa kwenye makabila Yako hayo
Asikudanganye mtu, nilikuwa nasema hivi nikaingia anga flani hivi hadi mahari, kilichonikuta ilibidi ni-retreat no-surrender.Usioe kabila oa mtu mwenyewe na kila mtu anatabia zake
Huo Uongo kabisaInabidi uwe mvuta bhangi ili muende sawa
Hao walishavuka level zote za ubabe yaani ukizungua chap kwa haraka unaondoka ili umpatie amani ya moyo na pesa zako utakazoacha...Fanya Tafiti zako zote utaona wengi ni wajane...mmoja alisema eti mumewe alipaliwa na ugali akafa...Machame.
Kuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia
2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi
3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara
4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa
5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.
KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini
Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.
View attachment 2883317
Mkuu mbona kuna Wamachame ni poa kupita maelezo?Hao walishavuka level zote za ubabe yaani ukizungua chap kwa haraka unaondoka ili umpatie amani ya moyo na pesa zako utakazoacha...Fanya Tafiti zako zote utaona wengi ni wajane...mmoja alisema eti mumewe alipaliwa na ugali akafa...
Mimi yalinikutaKabila Lina nguvu,kuna tabia general ya kabila fulani
Umeoa mara Ngapi ukapata experience??Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
nani kakudanganya?Usioe kabila oa mtu mwenyewe na kila mtu anatabia zake
Kumbe umeo kabila hizo zote hahahaha nataniaKuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!
Makabila bora kabisa kupata mke ni:
1. Wabena
Hawa watu ni wavumilivu na wanajali familia. Si watu wa tamaa tamaa au wazinzi wakitulia wametulia
2. Wakinga
Hawa ni watu wapambanaji sana pamoja na kua wana focus kwenye hela sana ila bado ni watu wa kujali familia na si rahisi kukuta mke kamuacha mumewe kisa uchumi
3. Waha
Hili kabila wanaongoza kwa kuchapa kazi pia wake zao ni wavumilivu. Mwanamke wa kiha hawezi kukuacha kisa mnapitia wakat mgumu kiuchumi pia wanajua sana biashara
4. Wahehe
Hawa nao wanawake wao wako poa sana shida ni hasira ya kujinyonga ingawa hii ipo sana kwa wanaume. Ila ukipata mke wa kihehe umeopoa
5. Wakurya
Ukipata mke wa kikurya toka ukuryani kabisa na ukawa unampa shoo za kibabe huwezi mkuta anahangaika. Changamoto kama kitandani ni shida hamuwezi elewana
6. Wasukuma
Hawa pia ukipata mke wa ndani huko wanatulia ila wakiwa mjini utaelewa.
KIMBEMBE OA
Pwani, Tanga, Lindi au Kaskazini
Haya hii ni kutokana na Experience yangu. Kama kuna watu wameoa haya makabila na wanadumu usisite kuweka ushahidi.
Kama kuna mengine au maoni tofauti pia karibuni.
View attachment 2883317
Mali na urithi mtu atazipata kwa Baba yake ila mke mwema anatoka kwa Bwana. Kinywa chake ni kama kima cha Marijan cjui nini nimesahau.........!!. Katika life usiende nje ya nature itakutesa sana. Unataka kuoa piga goti funga na kuomba Mungu ni muaminifu nakuhakikishia utapewa mtu sahihi. Lifanye hilo zoez ndani ya mwezi utapata majibu kwa wakat broKuna makabila ambayo ukiowa huko hutakaa ujute kwene maisha yako!