JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Watu wa ccm, mnawashwa Sana,Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Toka shetani, acha uwongo. Hao watu uliwasikia wapi? Walikuambia wewe chumvani kwako kiasi kwamba usikie wewe tu na watu wengine wote wasisikie?Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Kupita tu ni kampeni tosha. Umeshiba sana kajisaidieSehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Sasa risasi 17 sio kampeni tosha? Wewe ukipitiwa na kipande cha tofali nyumba unahamaJidanganye
Wewe chinembe una matatizo yako binafsi na Mh. Lissu! Mbona sisi wagombea hatujalalamika?Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Chinembe mwogope Mungu!Mimi chadema, pale Nyamongo tumechanga karibu milioni 50 ili atupigie debe, kaishia kujipigia debe yeye mwenyewe
Wadanganye vizuri wenzio,sema hivii kila anapopita anasepa na kijijiSehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Chagueni huyo huyo wa chauma chama cha mzee wa ubwabwa! CCM limekuwa chama la majitu mapumbavu mpaka yanaogopa ushindani wa haki!Mtaani kwetu kuna mgombea wa CCM na CHAuma peke yake. Chadema hawana mgombea. Nimesikitika Sana