LGE2024 Sehemu anazopita Lissu hapigii kampeni wagombea serikali za mitaa, anajipigia kampeni yeye mwenyewe, baadhi ya sehemu hawamtaki, wanataka Mbowe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Watu wa ccm, mnawashwa Sana,
Akili kubwa Lisu,anapiga kampeni kubwa ya kuwafsnya wananchi waichukie ccm, wafunguke macho wajue ccm ndio jinazmizi linalowapa umaskini
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Toka shetani, acha uwongo. Hao watu uliwasikia wapi? Walikuambia wewe chumvani kwako kiasi kwamba usikie wewe tu na watu wengine wote wasisikie?

Indoka shetani mkubwa, hicho chama hakikuhusu, shughuli na Chama Cha Mashetani, kwani huko ndiko iliko nyumba ya waongo, majuha, wanafiki, majizi, wauaji, watekaji na wadhulumu haki za watu.
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Kupita tu ni kampeni tosha. Umeshiba sana kajisaidie
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Wewe chinembe una matatizo yako binafsi na Mh. Lissu! Mbona sisi wagombea hatujalalamika?
 
Kule Songwe, Mbowe alitoa fursa mpaka wakajitaja majina, Lissu yeye anasema watapoteza muda
 
Mtaani kwetu kuna mgombea wa CCM na CHAuma peke yake. Chadema hawana mgombea. Nimesikitika Sana
 
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.

Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Wadanganye vizuri wenzio,sema hivii kila anapopita anasepa na kijiji
 
Mtaani kwetu kuna mgombea wa CCM na CHAuma peke yake. Chadema hawana mgombea. Nimesikitika Sana
Chagueni huyo huyo wa chauma chama cha mzee wa ubwabwa! CCM limekuwa chama la majitu mapumbavu mpaka yanaogopa ushindani wa haki!
 
Back
Top Bottom