JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Watu wa ccm, mnawashwa Sana,Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Akili kubwa Lisu,anapiga kampeni kubwa ya kuwafsnya wananchi waichukie ccm, wafunguke macho wajue ccm ndio jinazmizi linalowapa umaskini