Sehemu gani niende kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu?

Wee jamaa unadhani wooote humu mazombie? Eti umeomba ruhusa kazini nikasherehekee siku yangu ya kuzaliwa na nimepewa! Fikra zako! Umasikini/utajiri wako! Nachelea kusema kwa fikra hizi wewe ni masikini huna pa kwenda!
 
Hakika
 
Nenda Mikumi National Park, kisha uende Udzungwa,Sanje water falls, ukitoka hapo Nenda Mpaka Malinyi ukatembee Sofi Majiji mpaka Ngoheranga
 
Mkuu nimetangulia Adis Ababa kujenga sanamu lako
 
Wee jamaa unadhani wooote humu mazombie? Eti umeomba ruhusa kazini nikasherehekee siku yangu ya kuzaliwa na nimepewa! Fikra zako! Umasikini/utajiri wako! Nachelea kusema kwa fikra hizi wewe ni masikini huna pa kwenda!
Wewe nae hasira zote hizo za nini na ndo kwanza mwisho wa mwezi umeanza..?
Anyways, katika likizo yangu ya siku 28 kwa mwaka, ofisi hairuhusu kuzichukua zote. Kwahyo tunazipunguza ukipata nafasi. Mimi nimechukua siku 10, hizo 18, tutazitafutia upenyo mbele ya safari. Upunguze makasiriko mkuu, jali afya yako ya akili.
 
Sehemu nzuri ni Kwa wazazi wako. Hivyo nenda Kwa wazazi wako kafurahi nao pamoja nyumbani.
 
Miaka inasonga uzee unamtafuta na kifo kinamkaribia (ceteris peribus) anatakiwa apate maeneo ya kuhuzunisha na sio kufurahisha, namshauri aende Israel. Mimi binafsi huwa nalia siku nzima nikisikitika kuongeza umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…