Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

Sehemu Gani nzuri Morogoro ya kula supu, bia na nyama choma

Kilete hicho kibunda mie tawapikia supu.
 
Ulizia uhamiaj nyama choma nyuma ya msamv stand
Enjoy your day
 
Ulizia uhamiaj nyama choma nyuma ya msamv stand
Enjoy your day
Asante mkuu,hivi wapo mpaka saa 3 usiku? Maana baada ya kukosa majibu ya uhakika nikaja hapa nguzo campsite . Kuna mazingira tulivu,yakuburudika na uoto Asili na kuna mto japo Kwa sasa kiangazi umekauka maji yapo kimfereji. Hii sehemu nzuri sana mpaka Shemeji yenu kafurahia sana sana.
IMG20220925164126.jpg
IMG20220925181653.jpg


IMG20220925181640.jpg


Our room in nguzo camp
 
This is our room,cost us 30,000Tsh. For real i would recommend this place,it's worth every penny. the tranquility,nature, weather and serenity of this place is meditative. For y'all nature's lover it's 10/10 place.
 
Budget yangu Leo ni 100k to 150k,hapo ni kula,kunywa na usafiri na mizunguko mingine. Sio kibunda kikubwa kawaida tu
Nbona bill moja tu kibunda kinakata mkuu, subir kuku wa ndoo Luna urudi ugegede mzigo!!!
 
Inakoelekea huko...usiku unaweza kutoonyesha tusivyopaswa kuviona maana mhhhh.
Hapana mkuu nawasaidia wengine Kwa kuwapa experience niliyoipata kama nilivouliza swali kwenye heading ya Uzi huu. Hivyo Kwa kushiriki kuchangia experience yangu kutawasaidia wengine. Asante pia picha zote zimezingatia faragha yetu.
 
Back
Top Bottom