Nyingi, za biashara na kilimo, hasa kilimo cha nyanya, vitunguu maji na vitunguu swaumu.Kule kuna Fursa gani boss wangu.
Upo sahihiNyingi, za biashara na kilimo, hasa kilimo cha nyanya, vitunguu maji na vitunguu swaumu
Dodoma maisha yako juu sana! Tangu watangaziwe JIJI,mambo yamebadilika mno. Kila kitu bei juu kuanzia nyumba za kupanga, viwanja, nk.Mkuu kwanini😂😂
DaahDodoma maisha yako juu sana! Tangu watangaziwe JIJI,mambo yamebadilika mno. Kila kitu bei juu kuanzia nyumba za kupanga, viwanja, nk.
Miuondombinu bado ni ile ile ya enzi za Manispaa! Barabara za mtaani ni mabwawa ya kuvulia samaki na madimbwi tu hasa msimu huu wa mvua! Mimaji ni ya chumvi!! Labda kwa hapo baadae. Ila kwa sasa Dodoma haina kabisa hadhi ya kuitwa JIJI.
Dodoma maisha yako juu sana! Tangu watangaziwe JIJI,mambo yamebadilika mno. Kila kitu bei juu kuanzia nyumba za kupanga, viwanja, nk.
Miuondombinu bado ni ile ile ya enzi za Manispaa! Barabara za mtaani ni mabwawa ya kuvulia samaki na madimbwi tu hasa msimu huu wa mvua! Mimaji ni ya chumvi!! Labda kwa hapo baadae. Ila kwa sasa Dodoma haina kabisa hadhi ya kuitwa JIJI.
Aisee mbona Noma, anyways nitakuja kuzuru mitaa hio ya Dom nione ninaishije. Vipi kuhusu vyumba vya kupanga single.. Bei ya kawaida kabisa kwa Dodoma.Mkuu nakushauri nenda Dodoma. Kama ulivyosema unajihusisha na maswala ya ujenzi nenda huko hutojuta. Kwasasa Jiji la Dodoma lina muingiliano wa watu wengi sana. Hata ukianzisha mgahawa au any opportunity unatoboa mapema tu.
Juzi kidogo nilale nje. Nilipata lodge maeneo ya Town. Asubuhi nikarudisha ile lodge nikijua nitamaliza shughuli Zangu pamoja na kikao mapema then nirudi Zangu Dar. Chaajabu mambo yalienda Sivyo. Ilipofika saa Kumi na mbili nikaanza kutafuta lodge. We we we weeeee nilizunguk Town nzima vyumba vimejaaa. Ikabidi niende maeneo ya Four way bara bara ya mwanza. Huko ndiko nilikolala