Vyumba pia dodoma karibu na mjini ni gharama, lakini kilomiter 2.5 hadi 3km utapata chumba kimoja cha 10ft by 10 kwa Tsh. 40000 na 50000 ikitegemea uzuri wa chumba.Asante sana.. Gharama za Kupanga Chumba zikoje boss.
Babati pia napajua vizuri tu, maisha ya pale ni kuchukua pesa hapa kuweka pale, wengi waliojenga babati ni kipindi kile cha lowasa akiwa prime akifagiliwa na wana arusha, mkuu saivi labda ujenzi ni wa makanisa machache chache.Pamoja mkuu jaribu kufikiri na mimi huko kote nimekaa na mwezi uliopita nilikuwa dodoma mwezi 12 nimejionea na mwaka 2015 mpaka 2018 november nilikuwa dodoma pia.
Asante sanaBabati pia napajua vizuri tu, maisha ya pale ni kuchukua pesa hapa kuweka pale, wengi waliojenga babati ni kipindi kile cha lowasa akiwa prime akifagiliwa na wana arusha, mkuu saivi labda ujenzi ni wa makanisa machache chache.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ikulu ipo dodomaDodoma ndiyo pazuri. Hata ikulu ipo Dodoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dadeqSasa si ndio uje uzibe hayo madibwi? 😀 😀 😀 Sawa ndugu
Labda restaurant. Kufungua hotel inahitaji mtaji mkubwa kiasi.
Hapajui dodoma kweli huyo niko mwaka wa pili hapa muda wowote nabeba virago
Hotel-bar ndiyo kitu gani?Hotel-bar !
Hotel-bar ndiyo kitu gani?
Ikulu ikiwa Dodoma ndo panakua pazuri?Dodoma ndiyo pazuri. Hata ikulu ipo Dodoma.
Ukiita hotel lazima kuwe na vyumba vya kulala na kuna standards zinapaswa kufikiwa.Kakitu fulani hiviii yaani hakana sifa zote za hoteli na pia hakana sifa za baa!! Panauzwa chakula lakini zaidi ni michemsho na vya kukaanga na kuchoma hata urojo na ukwaju unakuwepo kwenye chupa za maji 😀 😀 😀 .. panauzwa vinyawaji vikali na vya baridi hadi juice za miwa!!! pako kiswazi swazi hivi hata tisue mnakatiana