Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu gani ya Dar uwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi?.Tupia maoni yako tujuawe mapema tu
Aaaa we wa kishua bwana.Siwezi popote nje ya Kijitonyama, Makumbusho na Mikocheni.
Kinondoni aiseeSehemu gani ya Dar uwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi?.Tupia maoni yako tujuawe mapema tu
Karibu Pugu ArianaTEMEKE/ MANZESE /WILAYA NZIMA YA KINONDONI
BUGURUNI
ILALA
MBURAHATI
KIGOGO
MABIBO
Ningeringaaaaa! 😂 Sina familia Dar, nikipanga mbali ni hasara kwangu.. halafu huwa nahitaji pakulala tu you know! 🤣Aaaa we wa kishua bwana.
Tandale.
Mbagala.
Buguruni.
Kigogo sijui mabibo.
Manzese
Kigogo Kwa bint kahenga🙌🙌🙌TEMEKE/ MANZESE /WILAYA NZIMA YA KINONDONI
BUGURUNI
ILALA
MBURAHATI
KIGOGO
MABIBO
AsanteeeKaribu Pugu Ariana