Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

Nyauuuuuuuuuuuuuuuu
IMG_0839.jpeg

We ni kilaza, acha shobo na wanaume
 

Kiga barabara mahandaki matupu,barabara zinaongezwa viraka zimekuwa kama kichwa cha mwendawazimu kilichokuwa darasa la kujifunzia[emoji2957]
[emoji38]Acha dharau, kupanga ni kuchagua huku tumeanza na kiwanda cha magari, barabara zitafuata.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
Masaki na Oysterbay hata bure siwezi kupanga, maeneo haya yana usalama mdogo sana pia hayana ujirani wa wakazi wake, ukivamiwa mchana chauri yako. Ukiishiwa chumvi labda ukachote maji ya bahari utumie.
 
Back
Top Bottom