Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

Karibu Pugu Ariana

Karibu sana tutasali wote pale Pugu kanisani (sec)
Tutaishi kajiungeni
Matembezi tutafanya kisarawe
Upepo mzuri wa kizimzumbwi
Tutakula mahindi na nyama choma good life🙏🌹
Ooh tena hivi karibuni tulkkua na zamu ya kusafisha Groto la bikira maria na mama zetu WAWATA sikupata nafasi kuja...
Naskia tena kuna Pugu Marathon wanataka kuja huko...
Ni maeneo yq Pugu Boys??
 
Ooh tena hivi karibuni tulkkua na zamu ya kusafisha Groto la bikira maria na mama zetu WAWATA sikupata nafasi kuja...
Naskia tena kuna Pugu Marathon wanataka kuja huko...
Ni maeneo yq Pugu Boys??
Definitely jumamosi trh 18 kutakuwa na marathon ya kuchangia ujenzi wa kituo Cha Hija hapa Pugu boys ukifika tutafurahia sana
 
Kwaio mkuu Kama tumejenga huku pia tuhame😨 tukakae mbweni🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…