Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Duh! Kwel wew mwanaume wa dar, unaonyesha unapenda sana kiepe, siku kula Dona

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Hapo temeke mikoroshini kwa madenge Karibu au pembeni ya mpomabiva ni hatareeee. Na vyuku vyao.
Ships na kuku tamu ni mamboz stendi ya zamani ya kisutu ni mwisho wa matatizo pale aisee
 
Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo temeke mikoroshini kwa madenge Karibu au pembeni ya mpomabiva ni hatareeee. Na vyuku vyao.
Ships na kuku tamu ni mamboz stendi ya zamani ya kisutu ni mwisho wa matatizo pale aisee
Kumbe unapajua eeh

Ni noma sana hapo

Halafu njoo inbox tutete kidogo.
 
Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
[emoji3]
 
Wanaume Wa dar na chipsi zao...wanakuja subiri

young kilimanjaro
ewaaa..!!!! umeniwahi nami nilitaka kusema hivyohivyo..ila ngoja nijazie tu hapa,
Hivi inakuwaje dume zima linasifia chipsi yai..? yaani kabisa mwanangu wa kike anapenda kununuliwa chipsi, mchepuko naye chipsi halafu bado eti dume zima na midevu yako nae eti unaulizia chipsi duh..kwa hali hii wanawake wa Dar wana haki ya kununua "mbo.o za miti"
 
kula maugali sio sifa

chipsi ni chakula kama vyakula vingine tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…