Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
Aisee naipenda ming'oko 😀 😀 😀 😀 nilipokwenda mtwara nikaikuta,kuja Lindi nikaikuta aisee huwa naenxa mbagala rangi 3 kuifataga nikawa na hamu nayo sana
 
Tutajeni sehemu wanapopika chips vizuri kwa hapa dar .

Maana kuna sehemu zingine unakula chips lakini hata usikii raha yake

Sehemu ninazo zijua mimi baadhi ni hizi

1)Njia panda ya majumba SITA pale Banana wanapaita kwa Salumu

2) Tabata kimanga pale stendi wanapaita kwa mpemba

3)Temeke mtaa wa Yombo karibu na Mpomabiva


4)Tandika katibu na stendi ya magari ya buza

5)Mwenge stendi ya zamani ya magari ya goms kwa kule ndani .

6)M city

7)Mikocheni A kwa mwarabu wa dubai

8)Kariakoo kuna vijiwe vingi tu

Sehemu nyingine malizieni
We jamaa kama ni ME,, basi nimeamini maneno ya watu. Unavifahamu vijiwe vya chips kama mlevi anavyozifahamu baa.
 
Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
Duhh hapo umeuwa, ila mwanaume kujisifia kula chips nayo naona kama imekaa ndivyo sivyo!!!
 
ewaaa..!!!! umeniwahi nami nilitaka kusema hivyohivyo..ila ngoja nijazie tu hapa,
Hivi inakuwaje dume zima linasifia chipsi yai..? yaani kabisa mwanangu wa kike anapenda kununuliwa chipsi, mchepuko naye chipsi halafu bado eti dume zima na midevu yako nae eti unaulizia chipsi duh..kwa hali hii wanawake wa Dar wana haki ya kununua "mbo.o za miti"
Yaani umemaliza sina nyongeza hapo.
 
Hapo namba 7 nadhani kama watafanya mashindao ya mpishi bora wa Chipsi lazima waingie 3 bora.
 
Back
Top Bottom