Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Za kupima uswahilini/ mabibo/tandale/kigogo/Tandika/M/nyamaa/manzese
 
pale kwa aziz ally mtongani kuna mpemba alikuwa na chips tamu plus ukwaju na mazagazaga mengine ila sijui kama bado yupo ni muda sijapita.
 
Aisee, w/me wa Dar na chakula chao
 
WANAUME WA DAR SIKU WAKIJA HUKU KWETU WANAWEZA CHUBUKA KOO, MAANA HUKU NI MWENDO WA UGALI WA DONA.
 
d99bd90ec9ae782d2f8bf9a8e9828ba8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nend gongolamboto kwa vijana flan wa kipemba karib n stend y kisarawe,ulizia kwa Ammy weweeeee,tatizo tu ukifika lazima utakuta wtu 20 mpk 30 wanasubiri so utakaaa sana
 
Kwa anaehitaji Fundi bomba plumbing nipo mtalam hapa nitafute nipo hapa dar nafanya kazi bila shida yoyote mteja kwangu ni mfalme wala situmii garama kubwa maelewano tu ya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wanaume wa dar mmekutwa na nn ndugu zetu, yan kabisa mtu anafungua uzi kuulizia chips tamu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutajeni sehemu wanapopika chips vizuri kwa hapa dar .

Maana kuna sehemu zingine unakula chips lakini hata usikii raha yake

Sehemu ninazo zijua mimi baadhi ni hizi

1)Njia panda ya majumba SITA pale Banana wanapaita kwa Salumu

2) Tabata kimanga pale stendi wanapaita kwa mpemba

3)Temeke mtaa wa Yombo karibu na Mpomabiva


4)Tandika katibu na stendi ya magari ya buza

5)Mwenge stendi ya zamani ya magari ya goms kwa kule ndani .

6)M city

7)Mikocheni A kwa mwarabu wa dubai

8)Kariakoo kuna vijiwe vingi tu

Sehemu nyingine malizieni
Naona unapromote cafeteria zako kijanja ndg[emoji1] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisutu stand ya zamani kwa wale mama wa kihindi ana kitambi baba ana jitambi, kwa sele bonge hapa mpaka wamenikariri,, american chips, kwa edo hata boboo hapa mtaani anajitahidi.
 
Kwa Time mtaa wa sikukuu kariakoo.
 
Back
Top Bottom