Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
Aisee naipenda ming'oko 😀 😀 😀 😀 nilipokwenda mtwara nikaikuta,kuja Lindi nikaikuta aisee huwa naenxa mbagala rangi 3 kuifataga nikawa na hamu nayo sana
 
We jamaa kama ni ME,, basi nimeamini maneno ya watu. Unavifahamu vijiwe vya chips kama mlevi anavyozifahamu baa.
 
Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
Duhh hapo umeuwa, ila mwanaume kujisifia kula chips nayo naona kama imekaa ndivyo sivyo!!!
 
Yaani umemaliza sina nyongeza hapo.
 
Hapo namba 7 nadhani kama watafanya mashindao ya mpishi bora wa Chipsi lazima waingie 3 bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…