jibu ni ndio nao ni wavulana wa mkoani Dar es saalam
ushamba mzigo,chipsi zinaliwa dunia nzima,tembeeni mtoe tongotongo.kukaa sana bush nako sio kuzuri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mijitu ya mkoani inakasirika kweli ikiona bata za mjini. Kama vipi na nyie anzisheni uzi wenu wa vijiwe vya ming'oko Lindi, au Matobholwa Tabora, au mapanki Mwanza, au Mituro Moshi, au vijiwe vya urojo Zanzibar, au kuku shombo Dodoma.
Naona unapromote cafeteria zako kijanja ndg[emoji1] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Tutajeni sehemu wanapopika chips vizuri kwa hapa dar .
Maana kuna sehemu zingine unakula chips lakini hata usikii raha yake
Sehemu ninazo zijua mimi baadhi ni hizi
1)Njia panda ya majumba SITA pale Banana wanapaita kwa Salumu
2) Tabata kimanga pale stendi wanapaita kwa mpemba
3)Temeke mtaa wa Yombo karibu na Mpomabiva
4)Tandika katibu na stendi ya magari ya buza
5)Mwenge stendi ya zamani ya magari ya goms kwa kule ndani .
6)M city
7)Mikocheni A kwa mwarabu wa dubai
8)Kariakoo kuna vijiwe vingi tu
Sehemu nyingine malizieni
WANAUME WA DAR KATIKA UBORA WENU.
Kwahiyo we unataka tule mihogo na viatu au?Hivi nyie wanaume wa dar chips ni chakula au bite? Huwa mnanishangaza mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app