Sehemu ya 2: Ajenda za Masih Dajjal, vita vya Gaza, Lebanon, Syria (Mashariki ya Kati ) na kuzaliwa taifa la Kiyahudi la Israel

Russia Iran na turkey ndio watu wanaojua nn kinaendelea sis tunasubiri BBC na CNN nn wanasema wakati ukisoma quran tukufu na hadithi za mtume muhammad s.a.w alishawafunulia watu juu ya jambo hili na jinsi ya kuliepuka
 
Hawa waisraeli origin wako nchi gani? Kila siku mnasema wayahudi wanaoishi Israel ni take. Je wayahudi ambao sio take wako nchi gani?
Mbona ipo clear kuwa walishakua assimilated na jamii zingine na kizazi kupotea. Ni sawa na kusema Chaldeans wako wapi leo au moabites!!

Kwenye bible walienda utumwani wakaoa na kuolewa sasa ulitegemea pure Jews wawepo hadi leo? Waliobaki original kidogo ni sephardic Jews ila hao Ashkenazi Jews (feki) ndio zaidi ya 80% ya wayahudi wote duniani.

Kwenye Bible Ashkenazi ni japhetite ilihali baba wa wayahudi ya Eber ni Semite
 
Watakuambia kizazi kile "kilipotea" without any further elaboration.
Yes yalibakia makabila matatu tu ya Kingdom of judaeah ila hao Northern Kingdom walikua inter married na wengine hata kwenda utumwani ambako walikua assimilated na jamii za huko mfano Persians na Babylonians.

Ni sawa tu na kusema philistines wako wapi leo? Au kusema Phoenicians wako wapi leo? Whats so special na Jews hadi wawepo hadi leo ilihali mkishaoana na jamii nyingine tu identity inapotea?
 
Kuna watu wengi wamekuwa propaganda za chuki za kipumbavu ila kwa aliyesoma quran na Bible na kuelewa kilichomo humo vizuri atajua kuwa uislamu na ukristo kuna vitu vingi vinafanana kuliko uyahudi / Judaism .
Chuki za ukristo na uislamu zilitengenezwa kwa ajili ya kufanikisha mipango ya watu flani duniani humu aka " world's gate keepers"
Same old story divide and rule
 
Huu Uzi, uzi makini ambao ili uelewe ni lazima kwanza ujue maandiko yaan Mkiristo au Muislam uwe na maarifa.

Hongera mwandishi .

Hiyo Jana Rais wa Uturuki Edogarn kaionya Israel isitegemee kuichukua Lebanon au Syria , Kwa maadai ya "Promised Land "....

Edorgan yupo tayari kupeleka Majeshi yake Lebanon .

Na anawaonya waturuki kua Kwa mipango ya Israel ,baada ya Lebanon au Syria ni Uturuki.

View: https://youtu.be/QfrxXbz0_oU?si=9vUMOsYULrUemyZR

Wazayuni wana ramani yao wanaiita greater Israel ,wanadai Jordan ,Syria ,Lebanon na sehemu za Turkey ni mali yao , so hizi vurugu zao zipo kimkakati kufullfill hiyo agenda

Evil people
 
Mbona ipo clear kuwa walishakua assimilated na jamii zingine na kizazi kupotea. Ni sawa na kusema Chaldeans wako wapi leo au moabites!!

Kwenye bible walienda utumwani wakaoa na kuolewa sasa ulitegemea pure Jews wawepo hadi leo? Waliobaki original kidogo ni sephardic Jews ila hao Ashkenazi Jews (feki) ndio zaidi ya 80% ya wayahudi wote duniani.

Kwenye Bible Ashkenazi ni japhetite ilihali baba wa wayahudi ya Eber ni Semite
Na watu wajinga humu hawajui kwamba hao wazungu kutoka ulaya wanaojiita jews aka Ashkenazi ni Fake Jews na hata lugha wanayotumia hiyo Yiddish ni antisemite language , sio lugha ya kissemite kama mfano lugha ya kiarabu ilivyo
Lugha za semite ndio lugha za asili za wayahudi halisi .
Too bad hata DNA hawataki kupima na kuruhusu utafiti kufanywa kwenye vinasaba vyao .
Washenzi wamepiga marufuku .
Halafu linatokea jinga moja toka Mwakaleli huko na Kamsamba linakwambia Israel taifa teule la wayahudi
Fools !
 
Wayahudi hawa fake ambao kimsingi ni wazungu ni mashetani kama walivyo mabedui waarabu watu wa hovyo. Hizi jamii 2 ni za hovyo hapa duniani
 
Ustaadh samahani, mbona tukisoma historia ya juj na majuj (physical appearance) inaonekana ni watu tofauti sana na binadamu tuliowahi kuwashuhudia? Na kwamba hao wataachiwa mwishoni sana na ni waharibifu kupitiliza? Hebu naomba ufafanuzi zaidi

Jambo la pili huyu mshenzi Dajjal ni nani hasa hebu tufafanulie sisi ambao hatukuiona sehemu ya kwanza. Maana niliwahi kuona chanzo kimoja cha taarifa kinasema yupo sehemu za Mashariki kwenye kisiwa miongoni mwa visiwa vya pasifiki lakini leo tena nimesoma hapa umesema yupo Uingereza. Naomba unieleweshe pia huyu jamaa ni mtu, jini, mchawi au vipi na je atazaliwa na kukua kama wengine au alikwepo tangu zamani anasubiriwa muda ufike ndipo ajitokeze au vipi na kama ni hivyo huko alipo anaishije ishije, nani anatake care juu ya maisha yake ya mafichoni huko nk
 
Kuna watu wengi wamekuwa propaganda za chuki za kipumbavu ila kwa aliyesoma quran na Bible na kuelewa kilichomo humo vizuri atajua kuwa uislamu na ukristo kuna vitu vingi vinafanana kuliko uyahudi / Judaism .
Chuki za ukristo na uislamu zilitengenezwa kwa ajili ya kufanikisha mipango ya watu flani duniani humu aka " world's gate keepers"
Same old story divide and rule
Hongera kwa kulijua hili
 
Ustaadh samahani, mbona tukisoma historia ya juj na majuj (physical appearance) inaonekana ni watu tofauti sana na binadamu tuliowahi kuwashuhudia? Na kwamba hao wataachiwa mwishoni sana na ni waharibifu kupitiliza? Hebu naomba ufafanuzi zaidi

Jambo la pili huyu mshenzi Dajjal ni nani hasa hebu tufafanulie sisi ambao hatukuiona sehemu ya kwanza. Maana niliwahi kuona chanzo kimoja cha taarifa kinasema yupo sehemu za Mashariki kwenye kisiwa miongoni mwa visiwa vya pasifiki lakini leo tena nimesoma hapa umesema yupo Uingereza. Naomba unieleweshe pia huyu jamaa ni mtu, jini, mchawi au vipi na je atazaliwa na kukua kama wengine au alikwepo tangu zamani anasubiriwa muda ufike ndipo ajitokeze au vipi na kama ni hivyo huko alipo anaishije ishije, nani anatake care juu ya maisha yake ya mafichoni huko nk
Baada ya wayahudi kumkataa issa bin mariamu ndio mwenyezi Mungu akamua kuleta mtihani kwa mayahudi na watu ambao wanaojitaa kuwa Ibrahim ni baba yao wa Iman ndio akimleta uyo dajjal ambae kimaumbile ni binaadam ila ameumbwa ki jassad (robot) na sehemu aliyokaifadhiwa ilikuwa ni kisiwa cha uingereza na ndipo hata swahaba Tamim dar alimuonea huko na hawa yaajuji ni tofauti na simulizi nyng zinavyosema hawa ni watu na ndio hao unaowaona ulaya magharibi na u.s.a japo vyuo ving vya biblia vinawataja gogu kuwa ni Russia
 
Back
Top Bottom