Ibrahim daud
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 609
- 524
Miili yetu siku zote wakati wowote uwa ina-vibrate, apo nadhani wewe umefocus tu kwenye paja lako. Jitaidi kutoa mawazo kwenye kuisikiliza vibration ya mwili wako. Jitaidi kuwaza vitu vingine kwa sababu mwili ku-vibrate ndio asili yake.
Asante sana mkuuHiyo kawaida sana mkuu
& Ukiona ina kusumbua sana fanya ku minya minya sehemu yenye mtetemo
Lakini pia ondoa mawazo ya kufikilia juu ya huo mtetemo ukizani ni tatizo uki focus sana kwenye hiyo unaeza jikuta unatengeneza tatizo mwenyewe psychological
Tembelea sehemu za massage wakupe muongozo...
Asante numbisaPole mkuu
Inategemea umeenda wapi...Naskia izo sehem ni dangulo
Ok sawa wap niendeInategemea umeenda wapi...