Sehemu ya paja inatikisika, nini hiki?

Sehemu ya paja inatikisika, nini hiki?

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Habari za weekend!

Tokea Jana sehemu ya juu ya paja naskia Kama simu inaita yani vibration, nini hiki jamani?
 
Miili yetu siku zote wakati wowote uwa ina-vibrate, apo nadhani wewe umefocus tu kwenye paja lako. Jitaidi kutoa mawazo kwenye kuisikiliza vibration ya mwili wako. Jitaidi kuwaza vitu vingine kwa sababu mwili ku-vibrate ndio asili yake.
 
Asante sana

Hiyo kawaida sana mkuu
& Ukiona ina kusumbua sana fanya ku minya minya sehemu yenye mtetemo
Lakini pia ondoa mawazo ya kufikilia juu ya huo mtetemo ukidhani ni tatizo uki focus sana kwenye hiyo unaweza jikuta unatengeneza tatizo mwenyewe psychological
 
Hiyo kawaida sana mkuu
& Ukiona ina kusumbua sana fanya ku minya minya sehemu yenye mtetemo
Lakini pia ondoa mawazo ya kufikilia juu ya huo mtetemo ukizani ni tatizo uki focus sana kwenye hiyo unaeza jikuta unatengeneza tatizo mwenyewe psychological
Asante sana mkuu
 
Tembelea sehemu za massage wakupe muongozo...
 
Back
Top Bottom