Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kila siku nakuomba unitajie bar unayouza..na je nikija niliulizia demiss nitakupata?au unatumia jina lingineKweli kabisa bar kuna faraja
Kabisa mkuuKanisani unaweza kukuta watu wanalia ilihali wapo mbele ya Mungu lakini humkuti mtu bar analia ukimkuta analia basi jua kwa raha zake mwenyewe au na mwenzake.
Uongeza furaha na upendoBar ndio kila kitu...
Cha msingi ni furahaKuna wengine chooni [emoji1787][emoji1787]
Halafu hawana Amani bar itàbaki juuKanisani unaweza kukuta watu wanalia ilihali wapo mbele ya Mungu lakini humkuti mtu bar analia ukimkuta analia basi jua kwa raha zake mwenyewe au na mwenzake.
Hongera sana mkuuDah! Hapa nimetoka hapa nikiwa vizuri sana .Amani ya kutosha kabisa.
Pamoja mkuuAmen
VizuriSehemu ninayopata amani na furaha ni chumbani kwangu pekee!
Kila siku nakuomba unitajie bar unayouza..na je nikija niliulizia demiss nitakupata?au unatumia jina lingine