Sehemu Yenye Furaha ni Bar

Sehemu Yenye Furaha ni Bar

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Katika utafiti wangu mzito nilio ufanya mda mrefu..Nimegundua Bar zinaleta furaha kubwa katika maisha yetu ya kila siku..Ukiwa na uzuni ukifika tu bar furaha inarudi..Ukiwa na hasira ukifika tu bar hasira zote zina ondoka furaha ina tawala..Nawa pongeza wamiliki wa bar na wahudumu tukitoka kwenye bar zenu tunatoka tuna furaha..
 
Sehemu ninayopata amani na furaha ni chumbani kwangu pekee!
 
Dah! Hapa nimetoka hapa nikiwa vizuri sana .Amani ya kutosha kabisa.
 
Kanisani unaweza kukuta watu wanalia ilihali wapo mbele ya Mungu lakini humkuti mtu bar analia ukimkuta analia basi jua kwa raha zake mwenyewe au na mwenzake.
 
Nikiwa na pesa ya kutosha mahitaji yangu ya kila siku nafsi hua na amani na furaha tele
 
Back
Top Bottom