Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Katika utafiti wangu mzito nilio ufanya mda mrefu..Nimegundua Bar zinaleta furaha kubwa katika maisha yetu ya kila siku..Ukiwa na uzuni ukifika tu bar furaha inarudi..Ukiwa na hasira ukifika tu bar hasira zote zina ondoka furaha ina tawala..Nawa pongeza wamiliki wa bar na wahudumu tukitoka kwenye bar zenu tunatoka tuna furaha..