Ivan Godwin
Member
- Oct 19, 2024
- 10
- 3
kukodi sh ngapi kwa ekaKukodi/kununua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukodi sh ngapi kwa ekaKukodi/kununua
KIGOMA IKO WAPI NA KAHAMA GEITANaweka kambi.
Haya ni madini.com
Ongezea Morogoro mji kasoro bahari, fursa za kilimo.
Umesahau kahamaTanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara nchini, lenye bandari kubwa inayohudumia nchi nzima na majirani. Shughuli za kibiashara na viwanda ni nyingi, na mzunguko wa fedha ni mkubwa.
2. Dodoma: Mji mkuu wa Tanzania na makao makuu ya serikali. Dodoma inakua kwa kasi kiuchumi kutokana na uwepo wa ofisi za serikali, taasisi za elimu, na miradi mbalimbali ya maendeleo.
3. Mwanza: Iko kando ya Ziwa Victoria, Mwanza ni kitovu cha uvuvi na biashara ya samaki. Pia ina viwanda na ni kituo muhimu cha usafirishaji kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
4. Arusha: Inajulikana kwa utalii kutokana na hifadhi za taifa na Mlima Meru. Pia ni kituo cha mikutano ya kimataifa na ina uchumi unaotegemea kilimo na biashara.
5. Mbeya kwa ujumla: Iko Nyanda za Juu Kusini, Mbeya ni lango la biashara na usafirishaji kuelekea nchi za kusini mwa Afrika. Kilimo cha chai, kahawa, na matunda ni muhimu katika uchumi wa eneo hili.
6. Makambako (Mkoa wa Njombe): Mji huu ni kitovu cha biashara na usafirishaji kutokana na kuwa na miundombinu mizuri ya barabara na reli. Kilimo cha mazao kama mahindi, viazi, na maharage ni muhimu, pamoja na biashara ya mbao kutokana na misitu iliyopo.
7. Mafinga (Mkoa wa Iringa): Inajulikana kwa kilimo cha miti na uzalishaji wa mbao. Zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wanajishughulisha na kilimo, na eneo hili lina hekta 652,630 zinazofaa kwa kilimo.
8. Mufindi (Mkoa wa Iringa): Eneo hili lina mashamba makubwa ya miti, hususan Sao Hill, yanayochangia katika uzalishaji wa mbao na bidhaa za misitu. Shughuli hizi zimeongeza ajira na mapato kwa wakazi.
9. Babati (Mkoa wa Manyara): Mji huu unajulikana kwa kilimo cha mazao kama mahindi, mpunga, na maharage. Pia kuna ufugaji wa ng'ombe na mbuzi, pamoja na uvuvi katika Ziwa Babati. Shughuli hizi zote zinachangia katika uchumi wa eneo hili.
10. Tunduma: Eneo hili lina fursa katika kilimo, hususan mazao ya chakula kama mahindi na maharage. Pia kuna ufugaji wa mifugo na uvuvi katika Ziwa Rukwa, ambazo ni shughuli muhimu za kiuchumi kwa wakazi pia ni mpaka unao link nchi mbalimbali..
11.Tanga
Bandari ya kimkakati kwa biashara ya kimataifa.
Sekta ya viwanda (saruji, viwanda vya matunda, na bidhaa za mafuta).Kilimo cha mazao kama miwa, chai, na nazi pia katani.
12.Morogoro
Inajulikana kama ghala la chakula la Tanzania kwa sababu ya kilimo kikubwa cha mpunga, mahindi, miwa, matunda, na mbogamboga.
Ina viwanda vikubwa vya usindikaji wa mazao, kama Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa na viwanda vya vyakula. Eneo la Kilombero linajulikana kwa uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji na mifugo.
Nb.Ipo karibu na Dar es Salaam, hivyo ni eneo zuri kwa uwekezaji wa viwanda vinavyohitaji soko kubwa.
Mdau karibu tujadili je Kuna sehemu nyingine Tanzania zinazowaka kuliko hizi?
Duh unasema kweli?Mimi nilijua usukumani ni sehemu ya watu waliostaarabikaMkuu nimekaa kule miaka 3 biashara za kule asilimia 90 zinategemea ushirikina,ukinyanyuka kidogo tu ni either biashara yenyewe idondoshwe au we mwenyewe udondoshwe
Umesahau kahama
Hivi visiwa mzunguko wao wa pesa ni mdogo sana. Wakazi wa unguja ni wavivu sijapata kuona, maduka yanafunguliwa saa tatu mpaka saa nne na kufungwa kuanzia saa tisa na nusu mpaka kumi na moja jioni.Hata Unguja na pemba ni sawa maana Ile ni miji ya kibiashara
Tumepanga randomlyUkitoka Dar inafat unguja baadae ndo mnaendelea na mikoa mingine
Bila jiji la mbeya huu uzi ni batiliTanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara nchini, lenye bandari kubwa inayohudumia nchi nzima na majirani. Shughuli za kibiashara na viwanda ni nyingi, na mzunguko wa fedha ni mkubwa.
2. Dodoma: Mji mkuu wa Tanzania na makao makuu ya serikali. Dodoma inakua kwa kasi kiuchumi kutokana na uwepo wa ofisi za serikali, taasisi za elimu, na miradi mbalimbali ya maendeleo.
3. Mwanza: Iko kando ya Ziwa Victoria, Mwanza ni kitovu cha uvuvi na biashara ya samaki. Pia ina viwanda na ni kituo muhimu cha usafirishaji kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
4. Arusha: Inajulikana kwa utalii kutokana na hifadhi za taifa na Mlima Meru. Pia ni kituo cha mikutano ya kimataifa na ina uchumi unaotegemea kilimo na biashara.
5. Mbeya kwa ujumla: Iko Nyanda za Juu Kusini, Mbeya ni lango la biashara na usafirishaji kuelekea nchi za kusini mwa Afrika. Kilimo cha chai, kahawa, na matunda ni muhimu katika uchumi wa eneo hili.
6. Makambako (Mkoa wa Njombe): Mji huu ni kitovu cha biashara na usafirishaji kutokana na kuwa na miundombinu mizuri ya barabara na reli. Kilimo cha mazao kama mahindi, viazi, na maharage ni muhimu, pamoja na biashara ya mbao kutokana na misitu iliyopo.
7. Mafinga (Mkoa wa Iringa): Inajulikana kwa kilimo cha miti na uzalishaji wa mbao. Zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wanajishughulisha na kilimo, na eneo hili lina hekta 652,630 zinazofaa kwa kilimo.
8. Mufindi (Mkoa wa Iringa): Eneo hili lina mashamba makubwa ya miti, hususan Sao Hill, yanayochangia katika uzalishaji wa mbao na bidhaa za misitu. Shughuli hizi zimeongeza ajira na mapato kwa wakazi.
9. Babati (Mkoa wa Manyara): Mji huu unajulikana kwa kilimo cha mazao kama mahindi, mpunga, na maharage. Pia kuna ufugaji wa ng'ombe na mbuzi, pamoja na uvuvi katika Ziwa Babati. Shughuli hizi zote zinachangia katika uchumi wa eneo hili.
10. Tunduma: Eneo hili lina fursa katika kilimo, hususan mazao ya chakula kama mahindi na maharage. Pia kuna ufugaji wa mifugo na uvuvi katika Ziwa Rukwa, ambazo ni shughuli muhimu za kiuchumi kwa wakazi pia ni mpaka unao link nchi mbalimbali..
11.Tanga
Bandari ya kimkakati kwa biashara ya kimataifa.
Sekta ya viwanda (saruji, viwanda vya matunda, na bidhaa za mafuta).Kilimo cha mazao kama miwa, chai, na nazi pia katani.
12.Morogoro
Inajulikana kama ghala la chakula la Tanzania kwa sababu ya kilimo kikubwa cha mpunga, mahindi, miwa, matunda, na mbogamboga.
Ina viwanda vikubwa vya usindikaji wa mazao, kama Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa na viwanda vya vyakula. Eneo la Kilombero linajulikana kwa uwekezaji wa kilimo cha umwagiliaji na mifugo.
Nb.Ipo karibu na Dar es Salaam, hivyo ni eneo zuri kwa uwekezaji wa viwanda vinavyohitaji soko kubwa.
Mdau karibu tujadili je Kuna sehemu nyingine Tanzania zinazowaka kuliko hizi?
Rukwa na Ruvuma mkuu,ukiondoa bandari!Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:

Nenda ukajionee ndugu yanguDuh unasema kweli?Mimi nilijua usukumani ni sehemu ya watu waliostaarabika
Katoro hakuna kitu cha maana paleKahama...katoro...sehemu hizo pia fursa zipo