Sehemu zenye fursa nyingi zaidi Tanzania.

Umesahau kahama
 
Mkuu nimekaa kule miaka 3 biashara za kule asilimia 90 zinategemea ushirikina,ukinyanyuka kidogo tu ni either biashara yenyewe idondoshwe au we mwenyewe udondoshwe
Duh unasema kweli?Mimi nilijua usukumani ni sehemu ya watu waliostaarabika
 
Hata Unguja na pemba ni sawa maana Ile ni miji ya kibiashara
Hivi visiwa mzunguko wao wa pesa ni mdogo sana. Wakazi wa unguja ni wavivu sijapata kuona, maduka yanafunguliwa saa tatu mpaka saa nne na kufungwa kuanzia saa tisa na nusu mpaka kumi na moja jioni.

Ijumaa wote wanafunga maduka saa sita mchana, jmos na jpli maduka yanayokuwa wazi niyakuhesabu. Hakuna kitu huku.
 
Bila jiji la mbeya huu uzi ni batili
 
Rukwa na Ruvuma mkuu,ukiondoa bandari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…