INAUZWA SEIKO 5 Automatic Stainless Men's Watch Made in Japan kwenye boksi lake zinauzwa

INAUZWA SEIKO 5 Automatic Stainless Men's Watch Made in Japan kwenye boksi lake zinauzwa

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
* Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka.
* Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida.
* Saa ni roho ya paka inakaa miaka na miaka, ukiwa mtunzaji hadi kitukuu anaweza kuja kuirithi.

Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________________
SAA INA GUARANTEE WARRANTY YA MWAKA MMOJA
————————————
Bei: Tshs. 610,000 fixed
Tuwasiliane: 0659-358599
IMG_1023.JPG
IMG_1022.JPG
IMG_1021.JPG
IMG_1019.JPG
IMG_1016.JPG
 
Kwa maelezo yake itakuwa inatumia damu, kwani ina moyo/roho ya paka

Ni Automatic unapotembea ni lazima uchezeshe mikono, unapokuwa unachezesha mikono kwenye saa kuna kama karingi ambacho kinazunguka automatic bila kujua wala kuhisi, hiyo ringi inapozunguka inakuwa inajijaza ufunguo yenyewe.
 
Saa ina dumu miaka na miaka

tena unasema kama mtunzaji mpk kitukuu anaweza itumia

Ajabu eti "warranty 1 year" kwanini msifanye warranty 5 yrs

Mnauza copy za seiko ili mtuingize kingi eeeeh

Bado nina vichembe vya umaskini sijafkia uwezo wa kuvaa saa 600k

na hata ukinipa saa ya bei hiyo kama zawadi,ntaipokea ila ukiondoka tu

Na i post KUPATANA naiuza.
 
Kama mtunzaji kuna kuipigiza sehemu ukavunja kioo... Saa tunazitoa Japan kwenyewe kwa suala la ucopy futa kabisa.
 
Ni Automatic unapotembea ni lazima uchezeshe mikono, unapokuwa unachezesha mikono kwenye saa kuna kama karingi ambacho kinazunguka automatic bila kujua wala kuhisi, hiyo ringi inapozunguka inakuwa inajijaza ufunguo yenyewe.
Ina maana nisipovaa siku mbili inazima?
 
Back
Top Bottom