biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
- Thread starter
- #21
Ina maana nisipovaa siku mbili inazima?
Usipovaa kama siku tano inasimama, ukiivaa tu inatembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana nisipovaa siku mbili inazima?
Ina maana nisipovaa siku mbili inazima?
Kama nisipovaa inazima na nivaa tena inatembea je haitapoteza majira?Usipovaa kama siku tano inasimama, ukiivaa tu inatembea.
mkuu mbn ni saiz nzuri, saa ikiwa kubwa sana naona km haikupendezi,Mbona ndogo kama ya kike? Una receipt yake?
Usipovaa kama siku tano inasimama, ukiivaa tu inatembea.
Kisambusihaitumii betri inatumia nn mkuu?
Inaongeza na akili kwa asie fahamu kwamfano wanafunzu wa vyuo.Hiyo laki sita inaongeza na nguvu za kiume au?
Matumizi sahihi huwa ni kuitikisha kila kabla ya kuivaa, unaitikisa kwa dakika chache then unavaa unaendelea na mishe zako hata mkono utulie yenyewe haisimami hata siku nzima.Unapokuwa unatembea mkono unapotikisika, yenyewe automatically inajijaza ufunguo.
Hahahaha dah si mchezo. Naimagine mshale uki spd kufuata majira ya muda husika...Haitumii betri ,ukitembe nahyo ndoina.. , kwahiyo kama hukuivaa tokea hasubuh ukaja kuivaa saasita manake mshale utazunguka SPD sana hadiufke huowakat
Saa laki sita
Mbona hiyo kawaida, ukiwa na Mapenzi na saa mambo ya garama hufikiriSaa laki sita
Mwambie huyooooKwani Wenzetu nyie mnaishi Dunia gani?
WhizKid wiki iliyopita kamtia Meneja wake na Saa ya $200,000 (zaidi ya Milioni 450 za Madafu)
Wewe unashangaa Vilaki6 ?
Fake fake fake
Ni Automatic unapotembea ni lazima uchezeshe mikono, unapokuwa unachezesha mikono kwenye saa kuna kama karingi ambacho kinazunguka automatic bila kujua wala kuhisi, hiyo ringi inapozunguka inakuwa inajijaza ufunguo yenyewe.