Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kwahyo, inabidi urekebishe mda kila unapoivaa kwa wakat. Filan..?
Usipovaa kama siku tano inasimama, ukiivaa tu inatembea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipovaa kama siku tano inasimama, ukiivaa tu inatembea.
Hiyo siyo original. Seiko bei yake siyo rahisi namna hiyo.Saa ina dumu miaka na miaka
tena unasema kama mtunzaji mpk kitukuu anaweza itumia
Ajabu eti "warranty 1 year" kwanini msifanye warranty 5 yrs
Mnauza copy za seiko ili mtuingize kingi eeeeh
Bado nina vichembe vya umaskini sijafkia uwezo wa kuvaa saa 600k
na hata ukinipa saa ya bei hiyo kama zawadi,ntaipokea ila ukiondoka tu
Na i post KUPATANA naiuza.
Hiyo siyo original. Seiko bei yake siyo rahisi namna hiyo.
Kwahyo, inabidi urekebishe mda kila unapoivaa kwa wakat. Filan..?
Umeshawahi kuvaa SEIKO, unazijua bei za SEIKO? Nazitoa mwenyewe JAPAN, nina uhakika nazo asilimia mia na ndio maana naziuza hapa, ni original asilimia mia kutoka Kiwandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Internet Purchase Warning
Seiko believes that the best way for you to select and purchase a Seiko watch is at one of our authorized retail stores. Only in these stores can you be sure to find the latest Seiko collection, and be sure that your new watch bracelet will be sized and fitted correctly, free of charge.
Seiko, therefore, recommends that you do not purchase a Seiko watch through any website, unless it is an authorized Seiko dealer with the same emblem "SEIKO AUTHORIZED DEALER SITE" as appears here on this home page.
![]()
Seiko Watch Corporation
Seiko is one of the few fully integrated watch manufactures. We design and develop our own movements using leading-edge technology.www.seikowatches.com

Nakubaliana na wewe kuwa siyo saa za ghali. Hata mimi nawajua wazee wengi wa zamani walikuwa nazo na walikuwa siyo matajiri. Ila hilo tangazo siyo langu. Ni la kampuni mama inayotengeneza hizo saa. Bila shaka watakuwa wameshaona saa nyingi fake masokoni. Kununua bidhaa kama hizi au simu kutoka mkononi kwa mtu, mnunuzi utakuwa unanunua at your own risk. Hata hizo Iphone ukiagiza kama huko makini unalizwa mara moja. Badala ya kunilaumu ungeweza hata kufanya utafiti kama unaweza kuwa authorised dealer wao kwa Tanzania. Hapa tuko kupeana mawazo na sina mbaya na kukuharibia biashara yako.Kwahiyo unamaanisha nini kwa hili tangazo lako, una uwezo wa kununua seiko kwa authorized dealer? hebu jiongeze kidogo mkuu, watu wamekuwa wakiagizia iphone China kwa watu wanaoenda china, je wale wananunua kwa authorized dealer? Kama huna uwezo wa kununua ni bora ukae kimya lakini sio kutumia nguvu zako zote na akili zako zote kutaka kuharibu biashara ya mwenzako, unapata faida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kuwa siyo saa za ghali. Hata mimi nawajua wazee wengi wa zamani walikuwa nazo na walikuwa siyo matajiri. Ila hilo tangazo siyo langu. Ni la kampuni mama inayotengeneza hizo saa. Bila shaka watakuwa wameshaona saa nyingi fake masokoni. Kununua bidhaa kama hizi au simu kutoka mkononi kwa mtu, mnunuzi utakuwa unanunua at your own risk. Hata hizo Iphone ukiagiza kama huko makini unalizwa mara moja. Badala ya kunilaumu ungeweza hata kufanya utafiti kama unaweza kuwa authorised dealer wao kwa Tanzania. Hapa tuko kupeana mawazo na sina mbaya na kukuharibia biashara yako.
Hii saa niliiuza hapa miaka kadhaa iliyopita... Oktoba 25, mwaka 2019... kwa yoyote ambaye aliwahi kuinunua anaweza kutoa ushuhuda... Original Seiko 5 ya Japan muda si mrefu nawaletea saa nyengine aina hii hii ya Seiko 5.
- Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka.
- Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida.
- Saa ni roho ya paka inakaa miaka na miaka, ukiwa mtunzaji hadi kitukuu anaweza kuja kuirithi.
Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________________
SAA INA GUARANTEE WARRANTY YA MWAKA MMOJA
————————————
Bei: Tshs. 610,000 fixed
Tuwasiliane: 0659-358599
View attachment 1240331View attachment 1240332View attachment 1240333View attachment 1240334View attachment 1240335
Hapana labda uiache wiki nzima bila kuivaa, yenyewe ni automatic inajijaza ufunguo pale tu unapoivaa, unapokuwa unatembea na kurusharusha mikono yenyewe inajijaza ufunguo. kwahiyo hata wakati unapolala ukaamua kuivua na kuiweka kabatini, asubuhi unapoamka utaikuta seiko inatembea.Kwahyo, inabidi urekebishe mda kila unapoivaa kwa wakat. Filan..?
Internet Purchase Warning
Seiko believes that the best way for you to select and purchase a Seiko watch is at one of our authorized retail stores. Only in these stores can you be sure to find the latest Seiko collection, and be sure that your new watch bracelet will be sized and fitted correctly, free of charge.
Seiko, therefore, recommends that you do not purchase a Seiko watch through any website, unless it is an authorized Seiko dealer with the same emblem "SEIKO AUTHORIZED DEALER SITE" as appears here on this home page.
Toa hela acha manenoHiyo laki sita inaongeza na nguvu za kiume au?
NiuzieKumbe hizi saa nighali hivyo. Mi ninayo lakini situmii maana naona ni kama old model na imepitwa na wakati.
Ngoja niirudie aiseee.
Bei ni ya moto zaidi na itazidi kuwa juu kutokana kupanda kwa dola, sasa hivi dola 2,700.Nilitegemea bei itakuwa chini kidogo kwa SARV001