biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
haitumii betri inatumia nn mkuu?
Saa laki sita
Acha uongoDamu.
Hiyo laki sita inaongeza na nguvu za kiume au?
haitumii betri inatumia nn mkuu?
Kwa maelezo yake itakuwa inatumia damu, kwani ina moyo/roho ya paka
Bora ungesema inauzwa elfu 40 lakini hyo laki 6 hapana kwa kweliNdio, inategemea na saa unayoivaa
Saa ina dumu miaka na miaka
tena unasema kama mtunzaji mpk kitukuu anaweza itumia
Ajabu eti "warranty 1 year" kwanini msifanye warranty 5 yrs
Mnauza copy za seiko ili mtuingize kingi eeeeh
Bado nina vichembe vya umaskini sijafkia uwezo wa kuvaa saa 600k
na hata ukinipa saa ya bei hiyo kama zawadi,ntaipokea ila ukiondoka tu
Na i post KUPATANA naiuza.
Bora ungesema inauzwa elfu 40 lakini hyo laki 6 hapana kwa kweli
Ok,sawa.40,000 subiria teja akimkwapua aliyenunua akikuletea ndio uchukue kwa hiyo bei.
Ina maana nisipovaa siku mbili inazima?Ni Automatic unapotembea ni lazima uchezeshe mikono, unapokuwa unachezesha mikono kwenye saa kuna kama karingi ambacho kinazunguka automatic bila kujua wala kuhisi, hiyo ringi inapozunguka inakuwa inajijaza ufunguo yenyewe.