INAUZWA SEIKO 5 Automatic Stainless Men's Watch Made in Japan kwenye boksi lake zinauzwa

Mbona ndogo kama ya kike? Una receipt yake?
 
Mbona ndogo kama ya kike? Una receipt yake?
mkuu mbn ni saiz nzuri, saa ikiwa kubwa sana naona km haikupendezi,
Au unataka zile mpk bega linainamaa mkuu??
 
Haitumii betri ,ukitembe nahyo ndoina.. , kwahiyo kama hukuivaa tokea hasubuh ukaja kuivaa saasita manake mshale utazunguka SPD sana hadiufke huowakat
 
Unapokuwa unatembea mkono unapotikisika, yenyewe automatically inajijaza ufunguo.
Matumizi sahihi huwa ni kuitikisha kila kabla ya kuivaa, unaitikisa kwa dakika chache then unavaa unaendelea na mishe zako hata mkono utulie yenyewe haisimami hata siku nzima.
Saa walikuwa wanavaa hizi wazee zamani, sikujua kama bado zipo mpaka leo za huo muonekano, au kuna toleo jipya?
 
Haitumii betri ,ukitembe nahyo ndoina.. , kwahiyo kama hukuivaa tokea hasubuh ukaja kuivaa saasita manake mshale utazunguka SPD sana hadiufke huowakat
Hahahaha dah si mchezo. Naimagine mshale uki spd kufuata majira ya muda husika...
 
Kwani Wenzetu nyie mnaishi Dunia gani?

WhizKid wiki iliyopita kamtia Meneja wake na Saa ya $200,000 (zaidi ya Milioni 450 za Madafu)
Wewe unashangaa Vilaki6 ?
Mwambie huyoooo

Ova
 
Ni Automatic unapotembea ni lazima uchezeshe mikono, unapokuwa unachezesha mikono kwenye saa kuna kama karingi ambacho kinazunguka automatic bila kujua wala kuhisi, hiyo ringi inapozunguka inakuwa inajijaza ufunguo yenyewe.

Helical spring mechanism a k a utumbo/kamani.
 


ORIGINAL 100% SEIKO 5 MPYA Automatic Stainless Men's Watch Made in Japan kwenye boksi lake zinauzwa

* Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka.
* Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida.
* Saa ni roho ya paka inakaa miaka na miaka, ukiwa mtunzaji hadi kitukuu anaweza kuja kuirithi.

Napatikana: Dar es Salaam, duka lipo Kinondoni Studio.
_____________________
SAA INA GUARANTEE WARRANTY YA MWAKA MMOJA
————————————
Bei: Tshs. 610,000 fixed
Tuwasiliane: 0659-358599


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…