INAUZWA SEIKO 5 Automatic Stainless Men's Watch Made in Japan kwenye boksi lake zinauzwa

Bei ni ya moto zaidi na itazidi kuwa juu kutokana kupanda kwa dola, sasa hivi dola 2,700.
Aisee sio kupanda kwa $ bali kuporomoka kwa Shilingi
Itabidi tuuze sana nje na waache Ukiritimba wa kubinya leseni
 
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
  • Saa ni full box, ikiwa na box lake Original
  • Saa ni Automatic haitumii betri
  • Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari.
  • Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka, unamrithisha mtoto na mtoto anakuja kumrithisha mjukuu wako.

PRICE: 850,000

Kwa msaada zaid piga 0659358599

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…