biznes_dealz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 392
- 153
- Thread starter
- #21
Kupata video angalia hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata video angalia hapo
Mbaya zaidi utakuwa unabadilisha saa mara kwa mara, utashangaa ambaye ananunua hiyo saa original bado anayo wewe gharama za kununua saa mpya kila siku ukipiga hesabu gharama yake baada ya miaka kadhaa inazidi hata pesa ambayo ungekuwa na saa hiyo moja.Tusubiri waenda china watuletee midoshi ya 30k na sisi tuvimbe.
Ni kweli kabisa seiko 5 Original ni nzito haswa, ukiivaa mkononi ni lazima uhisi umevaa saa.Yes brand ya zamani sana ,ukiwa na seiko 5 ni Don...Halafu inakuwa nzito balaa zile OG acha za kina Hu Ju Ntao au xi Ji Ping au kina Zhang Yu.
mlaumu mlezi wakoDuuuh 850k,, Mimi nisiye na hela nawaza ni hela ya kununulia bodaboda used
Mzigo ujao ulete basi na zile zenye rangi ya gold. Na siyo silver tu.Ukitaka kuijua SEIKO 5 Original ya Japan izamishe kwenye maji hata nusu saa nzima, ikitoka SEIKO inatembea unajua hiyo sio midosho ya kutoka china, midosho ya kutoka China ndani ya dakika moja inakufa moja kwa moja, kwa wateja zangu wote kabla ya kukuuzia unaweza kuizamisha hata kwenye swimming pool saa nzima ikisimama hapo hakuna biashara tena, hutolipia thumni. Ni uhakika 100% Original ya Japan haiingii maji hata uzame nayo baharini.
Okay ndugu, mzigo mpya uko njiani.Mzigo ujao ulete basi na zile zenye rangi ya gold. Na siyo silver tu.
nipe namba zakeDaah, Aunt yangu alikuwa nayo tangu miaka ya 1997 mpaka leo
Elfu 8 mia 5 au naona tofautiNew Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
* Hakuna kinachodumu kama Seiko 5 ya Japan
- Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original.
- Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote
- Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari Seiko 5 utaikuta inatembea.
- Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka, unamrithisha mtoto na mtoto anakuja kumrithisha mjukuu.
BEI: Tshs 850,000
Kwa msaada zaidi piga 0659358599
View attachment 3082985
View attachment 3082197
View attachment 3082196View attachment 3082988View attachment 3082989View attachment 3083943
Ilikuwa laki nane na nusu, kwa sasa zitauzwa laki saba na themaniniElfu 8 mia 5 au naona tofauti
Ilikuwa laki nane na nusu kwa sasa zitauzwa laki saba na themaniniWait! Ni themanini na tano au mia nane hamsini? Maana asubuhi hii macho yana ukungu kidogo
Sio zilipendwa tu kwa sasa ni za moto sana hazishikiki hata kidogo, kampuni ya seiko ilianzishwa tokea mwaka 1881 na mpaka sasa wamekuwa wakitoa matoleo mapya kila kukicha, kutokana na gharama zake kuzidi kuwa juu ndio maana ni ngumu kuziona kwa sasa ila vijana wa miaka iliyopita walizivaa sana kupita kiasi kwa kuwa bei ilikuwa ya kawaida, ila kwa sasa hazikamatiki na ndio maana ni ngumu kuziona watu wakizivaa.Hizo ni ZILIPENDWA!
Pitia hapa utaona kwenye website yao, kwa sasa ni za moto sana na ndio maana huoni watu wakizivaa, ila kwenye kampuni yao hawajawahi kuacha kutoa matoleo mapya kila kukicha tokea kampuni ya SEIKO ilipoanzishwa mwaka 1881.Hizo ni ZILIPENDWA!