INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

INAUZWA SEIKO 5 Original 100% ya Japan imeingia

Tusubiri waenda china watuletee midoshi ya 30k na sisi tuvimbe.
Mbaya zaidi utakuwa unabadilisha saa mara kwa mara, utashangaa ambaye ananunua hiyo saa original bado anayo wewe gharama za kununua saa mpya kila siku ukipiga hesabu gharama yake baada ya miaka kadhaa inazidi hata pesa ambayo ungekuwa na saa hiyo moja.
 
HIZI SAA TUMEMALIZIA MZIGO LEO, MTAJULISHWA MZIGO MPYA UTAKAPOINGIA
 
Ukitaka kuijua SEIKO 5 Original ya Japan izamishe kwenye maji hata nusu saa nzima, ikitoka SEIKO inatembea unajua hiyo sio midosho ya kutoka china, midosho ya kutoka China ndani ya dakika moja inakufa moja kwa moja, kwa wateja zangu wote kabla ya kukuuzia unaweza kuizamisha hata kwenye swimming pool saa nzima ikisimama hapo hakuna biashara tena, hutolipia thumni. Ni uhakika 100% Original ya Japan haiingii maji hata uzame nayo baharini.
 
Mzigo ujao ulete basi na zile zenye rangi ya gold. Na siyo silver tu.
 
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
  • Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original.
  • Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote
  • Saa haiingii maji hata uzame nayo chini ya bahari Seiko 5 utaikuta inatembea.
  • Saa ni zaidi ya roho ya paka unatumia mpaka unazeeka, unamrithisha mtoto na mtoto anakuja kumrithisha mjukuu.
* Hakuna kinachodumu kama Seiko 5 ya Japan

BEI: Tshs 850,000

Kwa msaada zaidi piga 0659358599

View attachment 3082985
View attachment 3082197
View attachment 3082196View attachment 3082988View attachment 3082989View attachment 3083943
Elfu 8 mia 5 au naona tofauti
 
Wait! Ni themanini na tano au mia nane hamsini? Maana asubuhi hii macho yana ukungu kidogo
 
Hizo ni ZILIPENDWA!
Sio zilipendwa tu kwa sasa ni za moto sana hazishikiki hata kidogo, kampuni ya seiko ilianzishwa tokea mwaka 1881 na mpaka sasa wamekuwa wakitoa matoleo mapya kila kukicha, kutokana na gharama zake kuzidi kuwa juu ndio maana ni ngumu kuziona kwa sasa ila vijana wa miaka iliyopita walizivaa sana kupita kiasi kwa kuwa bei ilikuwa ya kawaida, ila kwa sasa hazikamatiki na ndio maana ni ngumu kuziona watu wakizivaa.
 
Hizo ni ZILIPENDWA!
Pitia hapa utaona kwenye website yao, kwa sasa ni za moto sana na ndio maana huoni watu wakizivaa, ila kwenye kampuni yao hawajawahi kuacha kutoa matoleo mapya kila kukicha tokea kampuni ya SEIKO ilipoanzishwa mwaka 1881.
 
Attachments

  • Screen Shot 2024-09-29 at 14.49.18.png
    Screen Shot 2024-09-29 at 14.49.18.png
    1.7 MB · Views: 3
Back
Top Bottom