Sekioni Davis amepotea wapi?

soul provider

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,113
Habari Wakuu!

Miaka ya nyuma huyu jamaa alikuwa anafanya kazi EATV kama mtangazaji kipindi Cha Uswazi, lakini pia alikuwa producer wa Ze comedy Show ya akina Masanja..

Amepotelea wapi Sekion Davis kwa anayejua taarifa zake..
 
Ashaitumikia sanaa vyakutosha mshamlipa kaona hakuna haja tena yakupigwa pigwa Picha na macamera kama kina Steve Nyerere, Joti, mpoki yani umekuwa ndani ya sanaa unazeekea ndani ya sanaa bila plan B shubamit huo ni uzwazwa

Hongera seki, jamii imekumis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…