Sekioni Davis amepotea wapi?

Sekioni Davis amepotea wapi?

Jamaa alikubalika sana enzi zake
Akaja kuamua kukaa nyuma ya kamera za akina masanja.

Sasa kamera za akina masanja zimezima yuko wapi kwa sasa?
Mara ya mwisho alionekanaga maeneo ya kibiti ile kabla ya kuwa darfur
 
huyu jamaa na kipanya....hawa jamaa talents zao sio za dunia hii aisee
 
Mara ya mwisho alikuwa Wasafi fm sijui kapotea wapi tena
 
Back
Top Bottom