Sekioni Davis amepotea wapi?

Sekioni Davis amepotea wapi?

Habari Wakuu!

Miaka ya nyuma huyu jamaa alikuwa anafanya kazi EATV kama mtangazaji kipindi Cha Uswazi, lakini pia alikuwa producer wa Ze comedy Show ya akina Masanja..

Amepotelea wapi Sekion Davis kwa anayejua taarifa zake..
Unajifanya unamjua halafu hujui hata alikuwa anafanya kipindi gani, kipindi anafanya tv shows 'City Sound' ,Uswazi ilikuwa hata haijaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii yeyote anayetaka kupotea ajiingize kushabikia siasa hasa ccm
 
Uswazi ipiiii???? Mi Namkumbuka enzi zile EATV na kipndi chake cha city sound Nilikuwa nakupenda kweli
 
It was city sound kumbe na wewe ni muhenga bibie!!!

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kwani city sound miaka ya 80???si ilikuwa early 2000 jamaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani kwani city sound miaka ya 80???si ilikuwa early 2000 jamaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
2000's imekuwa kitambo bibie kwa waliowahi kwenda leba sasa wanasomesha

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Ohooooo!!!
6257166ed726ad92c4162055da3d23d3.jpg
1130566dbf687ff795a1f0bc7c220cc6.jpg


-Ndumilakuwili-
Movie gani hii?
 
Jamaa alikubalika sana enzi zake
Akaja kuamua kukaa nyuma ya kamera za akina masanja.

Sasa kamera za akina masanja zimezima yuko wapi kwa sasa?
 
Mkuu umekwenda nyumbani kwake ukamkosa? Au una maanisha unataka kujua kwa sasa anajishughulisha na nini.
 
Back
Top Bottom