hakung'oa vitasa vya milango kama Lawrence Masha!!!
HATIMAYE PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA MAMA MSOMI KABISA NA MTETEZI WA WANYONGE NA WANAWAKE AENDA KUMKABIDHI OFISI YAKE YA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NDG. LUKUVI MAPEMA KABISA ILI AENDELEE NA KAZI YA KUWAHUDUMIA WANYONGE WANANCHI WAKE WA BUKOBA NA WANAWAKE WASIOWEZA KUPATA ELIMU BORA.
HILO LIMEJIDHIHIRISHA BAADA YA SHULE YAKE KUONGOZA KWA SOMO LA HESABATI NCHI NZIMA NAWALIOFAULU NI WATOTO WA WANYONGE WALIOPO LINDIMTWARA RUFIJI NA MAFIA.
WANGEKUA WALOFAULU SANA WANATOKABUKOBA WATU WANGEZUSHA KUWA NI UPENDELEO TENA WATU WANGEZUSHA HILO NI WALEWALE WABAYA WAKE WASIOWAPENDA WATANZANIA WAKIFANIKIWA KWA MAFANIKIO ALETAYO PROF. HUYU MSOMI MWENYE SIFA ZA KIMATAIFA
Yes, utakumbukwa sana na wale madiwani 4 mlioenda nao bara la Asia bila kufuata taratibu katika harakati za kutafuta wawekezaji wa hii project yetu ya Kigamboni City!! -utazidi kukumbukwa kwa uadilifu wako mama .kapumzike kidogo mungu atakuinua tena insha allah
Kusema shule yake inasomesha maskini ni vichekesho, ada million 5, mtoto gani wa maskini anaweza kulipa kiasi hicho cha fedha?????
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.