Sekondari iliyopata mgawo wa ESCROW yaongoza

Sekondari iliyopata mgawo wa ESCROW yaongoza

HILO LIMEJIDHIHIRISHA BAADA YA SHULE YAKE KUONGOZA KWA SOMO LA HESABATI NCHI NZIMA NAWALIOFAULU NI WATOTO WA WANYONGE WALIOPO LINDIMTWARA RUFIJI NA MAFIA.
Kweli hapo umefuka, eti watoto wa wanyonge waliopo Lindi, Mtwara, Rufiji na Mafia na sio Bukoba. Ina maana mtu akitoka maeneo hayo ndio mnyonge. Katika hii taarifa yako hujajipanga, haijulikani unasifia shule au uwajibikaji wa mama Tiba
 
at_02dec10-300x214.png
Hii picha ya zamani sana hapa yuko na aliyekuwa naibu waziri Ole Medeye muasisi wa siasa za ukabila Arusha.
 
HATIMAYE PROF. ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA MAMA MSOMI KABISA NA MTETEZI WA WANYONGE NA WANAWAKE AENDA KUMKABIDHI OFISI YAKE YA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NDG. LUKUVI MAPEMA KABISA ILI AENDELEE NA KAZI YA KUWAHUDUMIA WANYONGE WANANCHI WAKE WA BUKOBA NA WANAWAKE WASIOWEZA KUPATA ELIMU BORA.

HILO LIMEJIDHIHIRISHA BAADA YA SHULE YAKE KUONGOZA KWA SOMO LA HESABATI NCHI NZIMA NAWALIOFAULU NI WATOTO WA WANYONGE WALIOPO LINDIMTWARA RUFIJI NA MAFIA.

WANGEKUA WALOFAULU SANA WANATOKABUKOBA WATU WANGEZUSHA KUWA NI UPENDELEO TENA WATU WANGEZUSHA HILO NI WALEWALE WABAYA WAKE WASIOWAPENDA WATANZANIA WAKIFANIKIWA KWA MAFANIKIO ALETAYO PROF. HUYU MSOMI MWENYE SIFA ZA KIMATAIFA

Bora upofu wa macho kuliko upofu wa akili ulio nao unayejiita RaisMtarajiwa.
 
Last edited by a moderator:
Prof.Tibaijuka anawekeza kwa watoto wa kike na kuwajenga kisaikologia kuwa wanasiasa ni watu wabaya sana, ni watu wenye fitina hawataki wapate elimu lakini yeye anawapigania, hawa mabinti watasoma kwa bidii watafanikiwa kimaisha na watoto wenu watakuja kuwaoa watawaweka michepuko watawaajiri kwa rushwa ya ngono na hapo malipizi yatakapoanza tunacheza michezo michafu sana itakayogharimu taifa miaka hamsini ijayo.

Yusuf pamoja na kuuzwa misri hakusau alikotoka, musa pamoja na kulelewa katika familia ya kifalme hakusahau nchi ya ahadi, Kagame na Rwigema pamoja na kulelewa Uganda na kushika nafasi za juu jeshini uganda hawakusau kwao Rwanda. hiki ndo kizazi kinachopandwa na tibaijuka. Mimi na wewe hatutakuwepo ila watoto/wajukuu zetu watayaona haya.
 
utazidi kukumbukwa kwa uadilifu wako mama .kapumzike kidogo mungu atakuinua tena insha allah
Yes, utakumbukwa sana na wale madiwani 4 mlioenda nao bara la Asia bila kufuata taratibu katika harakati za kutafuta wawekezaji wa hii project yetu ya Kigamboni City!! -
 
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.

Duh, umemgeuka CCM mwenzio?, utanyanywa kadi kuwa makini
 
Back
Top Bottom