amarina
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 230
- 403
Habari
Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule.
Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya.
1. Vipaji maalumu
2. Mbweni
3. Teule
4. Kitaifa
Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip?
Naomba ufafanuzi