Hii ni shule ya kata iko Kisarawe,ni ya serikali na ilijengwa wakati Jokate akiwa Dc wa kisaraweHabari
Rejea SoMo hapo juu kuhusu hii shule.
Wanafunzi wanapopangwa shule za serikali baada ya matokeo darasa la Saba kuna makundi haya.
1. Vipaji maalumu
2. Mbweni
3. Teule
4. Kitaifa
Ufafanuzi je JOKATE MWEGELO SECONDARY SCHOOL inaangukia kundi lip?
Naomba ufafanuzi
Chini ya influence yake enzi akiwa DCHii ni shule ya kata iko Kisarawe,ni ya serikali na ilijengwa wakati Jokate akiwa Dc wa kisarawe
Kwa sasa ni shule ya Bweni kitaifa sio kataHii ni shule ya kata iko Kisarawe,ni ya serikali na ilijengwa wakati Jokate akiwa Dc wa kisarawe