Kufaulu peke yake kunakufanya kuwa mgunduzi? Basi kama ndio hivyo ,nchi zilizo endelea zisize wekeza kwenye RnD Centers.Si kweli ,kwani wamefaulu vip ?
Bro ! Fanya project uone kama hautopata watu , kumbuka wako kwenye chain ya masomo ni rahisi kuonesha ujuzi wao sio kwamba wanatokea mtaani ..Kufaulu peke yake kunakufanya kuwa mgunduzi? Basi kama ndio hivyo ,nchi zilizo endelea zisize wekeza kwenye RnD Centers.
umaalum wake nikuwawezesha tu kupata A ya kwenye makaratasiTumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
où as-tu étudiéTumejionea wenyewe kule china na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Bro wewe unaongea nini ,hivi unaangaliaga hizi documentary za uvumbuzi? Nataka kufanye project ya Quantum Physics au hata ya maswala ya AI unazifanyia kwenye facility zipi?Bro ! Fanya project uone kama hautopata watu , kumbuka wako kwenye chain ya masomo ni rahisi kuonesha ujuzi wao sio kwamba wanatokea mtaani ..
Fanya project then ukiwa chuo wasilisha uone kama hautokuwa hazina .
sasa kwanini musimwambie mama zile golizake anazonunua hela awape hao ma dogo wa projectBro wewe unaongea nini ,hivi unaangaliaga hizi documentary za uvumbuzi? Nataka kufanye project ya Quantum Physics au hata ya maswala ya AI unazifanyia kwenye facility zipi?
Bro watafute vijana wanasoma masomo ya Science,uoe wanavyo struggle kupata bajeti ya kufanya final year project,msiongee tu kwa ground madogo wanastrugle wanatumia mpaka hela yao ya boom kuongezea kwenye project.
Ujue mpaka unaona computer ,Smartphones,AI any new technology, behind zimetumika bilions of dollar,ukiconvert ni trillions of dollars. Hivi nani awekeze bil of dollars, wakati elimu yetu haina mzingira mazuri ya kujifunza,hamna RnD Centre.
Msiwe mnaongea ongea fuatilieni hizi gunduzi kuna documentary kibao ndipo mtajua haya mambo yana hitaji hela. Trump juzi tu hapa kasema kwenye maswala ya AI peke yake US kaweka 500Bil USD hivi unajua 500bil USd sawa na kiasi gani?
Acheni lawama zisizo eleweka,bado hatuna mifumo na mazingira mazuri ya elimu yatakayo wafanya vijana wawe wagunduzi. Huoni mpaka sasa hivi serikali yako bado ina hangaika na matundu ya choo.
Kwani wewe huwezi mwambia? Wewe unafikiri hizi vyuo na mashule havina wakaguzi wa serikali si wanaona.......sasa kwanini musimwambie mama zile golizake anazonunua hela awape hao ma dogo wa project
Kiufupi hamna kipya ,projects zenu ni kucopy walizofanya wazungu...Hamna thamani kwa vile hamna kipya sokoni.Bro wewe unaongea nini ,hivi unaangaliaga hizi documentary za uvumbuzi? Nataka kufanye project ya Quantum Physics au hata ya maswala ya AI unazifanyia kwenye facility zipi?
Bro watafute vijana wanasoma masomo ya Science,uoe wanavyo struggle kupata bajeti ya kufanya final year project,msiongee tu kwa ground madogo wanastrugle wanatumia mpaka hela yao ya boom kuongezea kwenye project.
Ujue mpaka unaona computer ,Smartphones,AI any new technology, behind zimetumika bilions of dollar,ukiconvert ni trillions of dollars. Hivi nani awekeze bil of dollars, wakati elimu yetu haina mzingira mazuri ya kujifunza,hamna RnD Centre.
Msiwe mnaongea ongea fuatilieni hizi gunduzi kuna documentary kibao ndipo mtajua haya mambo yana hitaji hela. Trump juzi tu hapa kasema kwenye maswala ya AI peke yake US kaweka 500Bil USD hivi unajua 500bil USd sawa na kiasi gani?
Acheni lawama zisizo eleweka,bado hatuna mifumo na mazingira mazuri ya elimu yatakayo wafanya vijana wawe wagunduzi. Huoni mpaka sasa hivi serikali yako bado ina hangaika na matundu ya choo.
Weka hela halafu uone watu kama watakopi? Hujawekeza unataka upate mavuno. Wewe unafikiri Trump kuweka USD 500m kwa AI mjinga?Kiufupi hamna kipya ,projects zenu ni kucopy walizofanya wazungu...Hamna thamani kwa vile hamna kipya sokoni.
Fanya kazi acheni visingizia.!
Umeandika ukweli mtupu. Kongole kwako mkuu.Utakubaliana na mimi hizi special schools wengi wanafaulu kwa uwezo wao maana hata walimu ni wa kawaida sana kuliko hata wanafunzi.
Ukitaka kuona uwezo wao peleka huduma zote zilipo Fedha schools halafu uone watakachofanya. Huko kuna vichwa kwelikweli sio mchezo. Kuyaelewa masimple pendulum inahitaji ubongo tulivu kwelikweli. Hata sasa matokeo ya shule hizi ni mazuri sana.
Kumbe mna njaa ya pesaWeka hela halafu uone watu kama watakopi? Hujawekeza unataka upate mavuno. Wewe unafikiri Trump kuweka USD 500m kwa AI mjinga?
Mnapayuka payuka kwa vitu msivyo vijua na kama hujui hata kukopi nayo ni akili kwani knowledge ya Reverse Engineering imetumika.
Kwa hiyo Trump kuweka hiyo USD 500B ,ina maana wanasayansi wake wananjaa ya pesa?Kumbe mna njaa ya pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu. Lol[emoji28][emoji28][emoji28]Unatafutiwa connection kwenye magroup ya Whatsapp...Top ya matajiri hampo kwani mko wapi?
Boss labda wa kibanda cha mpesa.