Sekondari za Vipaji maalum takribani miaka 40 tangu kuanzishwa kwake umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni ubunifu wowote

Sekondari za Vipaji maalum takribani miaka 40 tangu kuanzishwa kwake umaalum wake uko kwenye nini? Hatuoni ubunifu wowote

Offcourse maisha ni kusaidiana, hakuna binadamu anajikamilisha kwa kila kitu. Kizuri ni kwamba sina shida ndogo ndogo kwenye maisha yangu. Hata kama tulipiga division A sisi sio invincibles kama mnavyotaka tuwe. Kuna sehemu pia tunakwama but we tackle our challenges smartly
Kwa hiyo miaka 30 ulikuwa unatafut ajira🤣
 
Hii mada inarudiwa Kila baada ya muda humu.

Hoja hii ni Sawa na ile inayojengwa na Dotto Magari kuwa degree hazina maana yeyote kwakuwa wenye degree hawana hela!

Trust me, 80% za PhD Tanzania zimetoka shule hizo. 80% ya policy makers wamepita shule hizo!

Lakini liangalie kwenye context ya uchumi wa nchi husika! Tuna nuclear scientists Tanzania Mfano Mohammed Gharib Bilal aliyekuwa makamo wa RAIS, je wamegundua Nini kwenye nishati ya nuclear?
Mnaresearch Center hata moja ya Nuclear Physics?Hivi unajua hizi Radioactive Material zinavyo kuwa handled?

Haya mambo hayaoti kama uyoga,wawekee facility,jenga Research Centers kwa kila kada, hakikisha shule zote zina walimu na vifaa vya kutosha, weka na hela kwa ajili ya hizo projects za Research halafu uone kama watu watashindwa kufanya Innovation.

Research Center ya IBM ya maswala ya Quantum Computer, gharama ya kile kituo na facility zake ni 5B USD.Huku tunahangaika na matundu ya choo kwenye shule zetu.

Kuna vijana kutoka hizo shule wapo Boing, Google, Apple, Amazon nk ni hawa kutoka hizo shule.
 
Hakuna serikali inaweza kuzuia kipaji cha mtu, hakuna ... Nchi kama Marekani inabebwa na watu wa nje ya siasa ,inafika kipind serikali inawafuata wengine ni raia wa nje wnapewa uraia kabisa.

Short and clear ,hawajafika level ya kuwa wagunduzi mpaka kushobokewa na serikali...wengi ni motivational speakers wanasoma masomo ya siasa ambayo hayana nafasi kwenye dunia ya leo.

Mheshimiwa Lissu alifaulu masomo yote ila akafuata mambo ya siasa,siasa ni mfumo sio private kwa nchi nyingi so hauwezi kuleta mageuzi ... Ubunifu wa kisayansi unamfanya msomi kuwa huru na kuonesha uwezo wake kwa factual information lakini masomo kama sheria ni manipulation ya kulazimisha batili kuwa haki na haki kuwa batili ,hqkuna cha maana.

Mheshimiwa lissu jwa uwezo wake akiendea masomo ya sayansi angekuwa na heshima kubwa sana ,ukiingia kwenye siasa lazima uwagawe watu kwa mlengo wa kisiasa , ndiyo maana leo anadharauliwa na kutukanwa na kina suphian na lucas Mwanshambwa.​
Una mazingira ya kuwafanya wawe wagunduzi? Hapa kwenyewe Mnaresearch Centers ngapi? Mnafikiri vitu vinaibuka kama uyoga bila kuwekeza.

Hebu kafuatile gharama za Research Centers Ulaya ,ndipo utagundua huku bado ,sasa hivi bado tuna hangaika na matundu ya choo. IBM wana research center gharama yake ni 5B USD.
 
n kwel bhn wanafunzi waliosoma vipaji wanajiweza kiakili uo ndo ukwel tukatae tukubal........lkn licha ya ivo piah kuna wengne hawakwenda vipaji licha ya kuwa na marks za kuwapeleka huko......maana shule za vipaji n chache..........kuna wengne n vipanga lkn wakapelekwa private na kuna sisi wa kawaifa tuliosoma za kata............
ila wakuu tugange ya mbele tuamke aisee haiwezekani ninagoogle hapa wanasema AFRICA CONTRIBUTES 1.4 % TO THE GLOBAL SCIENTIFIC KNOWLEDGE
 
n kwel bhn wanafunzi waliosoma vipaji wanajiweza kiakili uo ndo ukwel tukatae tukubal........lkn licha ya ivo piah kuna wengne hawakwenda vipaji licha ya kuwa na marks za kuwapeleka huko......maana shule za vipaji n chache..........kuna wengne n vipanga lkn wakapelekwa private na kuna sisi wa kawaifa tuliosoma za kata............
ila wakuu tugange ya mbele tuamke aisee haiwezekani ninagoogle hapa wanasema AFRICA CONTRIBUTES 1.4 % TO THE GLOBAL SCIENTIFIC KNOWLEDGE
Ndio uwezo wetu kwenye elimu zao. Elimu zao vipimo vyao, Labda wakitaka tu contribute MIHOGO tunaweza kuongoza globally.

Watafute vitu tunavyo viweza kisha watushindanishe, siyo kutushindanisha vitu ambavyo hatuviwezi.
 
Hizo ni shule maalumu kwa waliopata alama za juu tu.
Kupata alama za Juu pia ni kielelezo cha uzuri wa mwanafunzi.

Tatizo la msingi la Tanzania ni uwekezaji mdogo kwenye sekta ya Elimu hasa Tafiti na ubunifu.. ndio maana watanzaia ukikutana nao neo kubwa wanaloambiana ni "Tafuta hela" na hela wanayatafuta ni kubadili mboga
 
Kweli kabisa, kila mtu kwenye field yake anaweza kufanya innovation. Uwe dalali, bodaboda, mhasibu, mgavi, n.k unaweza kufanya innovation kwaiyo kabla ya kuwaangalia wengine jiangalie wewe kwanza umeongeza nini kwenye mchezo.

Mtu kama Jeff bezos yule ni winga tu alijiongeza na amazon yake

Word. Tunapenda sana kuwapa wengine majukumu na lawama huku sisi tumekaa tu.
 
Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.

Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.

Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.

Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.

Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?

Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?

Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.

Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.

Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?

Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.

Bonvenué de discusio reun̈ion
Kuita shule za vipaji ni makosa makubwa.

Hizo ni shule za wanafunzi wenye ufaulu mikubwa .

Na wengiwao ufaulu wao umetokana na kusongoka sana kukariri sana madesa.
 
Zote zilikufa baada ya kushambuliwa na viongozi wa CCM na wa serikali ambao walipeleka watoto wao mazezeta. Tukumbuke kuna wakati walimu wa Msalato walilalamika kwa kupelekewa watoto wa viongozi wasiojua kusoma na kuandika, hata hivyo hukuna hatua zozote zilizochukuliwa hivyo zikajifia kibudu.
Chai
 
Una mazingira ya kuwafanya wawe wagunduzi? Hapa kwenyewe Mnaresearch Centers ngapi? Mnafikiri vitu vinaibuka kama uyoga bila kuwekeza.

Hebu kafuatile gharama za Research Centers Ulaya ,ndipo utagundua huku bado ,sasa hivi bado tuna hangaika na matundu ya choo. IBM wana research center gharama yake ni 5B USD.
Si kweli ,kwani wamefaulu vip ?
 
Walitutupiga kitu kizito: Haikuwa vipaji maalum bali ilikuwa ufaulu wa juu.
Kuna tofauti ya kipaji na kupata ufaulu wa alama (marks) za juu.
 
Back
Top Bottom