Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hii mada ilituhusu zaidi sisi ambao tumesoma izo shule maalumu tulete shuhuda, nyie ambao kwenye mitihani mlikua mnapata namba za viatu mna trauma za ukilaza wenu hamwezi kusema chochote hapa zaidi ya kitembea na biti za doto magari na musukumaSoma mada kwanza uache kupaniki ,naona unaleta stori za magroup ya Whatsapp ,endelea kutafuta ajira kama wenzio 😅 😅
Sasa wewe mwenyewe unatafuta ajira utamsaidia nani?Hii mada ilituhusu zaidi sisi ambao tumesoma izo shule maalumu tulete shuhuda, nyie ambao kwenye mitihani mlikua mnapata namba za viatu mna trauma za ukilaza wenu hamwezi kusema chochote hapa zaidi ya kitembea na biti za doto magari na musukuma
User name ya jf isikusumbue kijana. Nipo njema mfukoni na kichwani. Mimeajiri vijana kadhaa ofisini kwangu naitwa boss. Mabanda niliyosimamisha o-level pale azania na a-level kule mzumbe nina uhakika kwenye historia ya ukoo wenu mzima hakuna anaenikaribia.Sasa wewe mwenyewe unatafuta ajira utamsaidia nani?
Shuhuda za kwenye magroup ya Whatsapp ,wewe mwenyewe ni failed unatafuta ajira mpaka kesho😅
😅😅😅Unatafutiwa connection kwenye magroup ya Whatsapp...Top ya matajiri hampo kwani mko wapi?User name ya jf isikusumbue kijana. Nipo njema mfukoni na kichwani. Mimeajiri vijana kadhaa ofisini kwangu naitwa boss. Mabanda niliyosimamisha o-level pale azania na a-level kule mzumbe nina uhakika kwenye historia ya ukoo wenu mzima hakuna anaenikaribia.
Vilaza acheni husda bhana. Wote tulifanya mtihani mmoja na hamkukatazwa kupiga first division kama sisi😅😅😅Unatafutiwa connection kwenye magroup ya Whatsapp...Top ya matajiri hampo kwani mko wapi?
Boss labda wa kibanda cha mpesa.
Sio tajiri wewe maskini tu ,bado unajitafuta elimu haijakusaidia ,unalialia😅😅😅...Niko mbali wala siombi ajira na connection.Vilaza acheni husda bhana. Wote tulifanya mtihani mmoja na hamkukatazwa kupiga first division kama sisi
Kupiga Flat A sio kazi ndogo.Mkuu mbona chuki, kwani wakati unasoma ulikatazwa kupiga flat ya A kama sisi
Kwanza ushapona masikio?Nakuonea huruma sana hujitambuiVilaza acheni husda bhana. Wote tulifanya mtihani mmoja na hamkukatazwa kupiga first division kama sisi
Anqjitetea sana hamna kipya soma humo ndani.Natafuta Ajira pia amejitafuta sana
TAtizo la masikio bado sijapona, licha ya kutafuta matibabu katika hospital kubwa ilishindika, niliambiwa so far hakuna tiba ya tatizo langu. Ni jambo ambalo lilinirudisha nyuma sana kitaaluma na kunikatisha kwenye masuala mengi sanaKwanza ushapona masikio?Nakuonea huruma sana hujitambui
Watu tunaoweza kukusaidia unaleta ego zako za kishamba .
Natafuta kazi zinazohitaji mahesabu, kuandika au kutumia kompyuta
Habari zenu wote? ni matumaini yangu wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni kuu Mimi kijana wa kiume umri miaka 30, mwenyeji wa Dar es salaam ila kwa sasa nimeamishia makazi mkoani Iringa kujaribu maisha na huku baada ya kufanya ivyo nikiwa Dar kwa muda mrefu sana bila...www.jamiiforums.com
TAtizo la masikio bado sijapona, licha ya kutafuta matibabu katika hospital kubwa ilishindika, niliambiwa so far hakuna tiba ya tatizo langu. Ni jambo ambalo lilinirudisha nyuma sana kitaaluma na kunikatisha kwenye masuala mengi sana
Kama kawaida ya mwerevu huwa hakosi mbinu ya kukabiliana na changamoto. Nikatumia akili yangu ile ile iliniwezesha kupiga division 1 darasani na kuja na mkakati wa nini nifanye. So far maisha yanaenda vizuri niaajiri mpaka vijana ambao ni wazima kabisa na huwa najitahidi kutafuta watu wenye changamoto kama yangu na kuwasaidia kwa kuwaonyesha njia sahihi ya kupita maana najua exactly nini wanachopitia.
Ukiwa na akili itakusaidia kwenye masuala mengi sio kupata division A tu darasani. Changamoto kama yangu ungekutana nayo kilaza kama wewe nina uhakika sasa hivi ungekua ombaomba mtaani kama sio ushajikatia tamaa ya maisha.
😅😅😅Miaka 30 na A zako unatafuta ajira ,we kilaza kabisa ,mimi nimetoka chuo 23 nikatusua first batch nikaingia mzigoni...Wewe umekaa miaka saba mbele bado unaona ramani hazisomeki.TAtizo la masikio bado sijapona, licha ya kutafuta matibabu katika hospital kubwa ilishindika, niliambiwa so far hakuna tiba ya tatizo langu. Ni jambo ambalo lilinirudisha nyuma sana kitaaluma na kunikatisha kwenye masuala mengi sana
Kama kawaida ya mwerevu huwa hakosi mbinu ya kukabiliana na changamoto. Nikatumia akili yangu ile ile iliniwezesha kupiga division 1 darasani na kuja na mkakati wa nini nifanye. So far maisha yanaenda vizuri niaajiri mpaka vijana ambao ni wazima kabisa na huwa najitahidi kutafuta watu wenye changamoto kama yangu na kuwasaidia kwa kuwaonyesha njia sahihi ya kupita maana najua exactly nini wanachopitia.
Ukiwa na akili itakusaidia kwenye masuala mengi sio kupata division A tu darasani. Changamoto kama yangu ungekutana nayo kilaza kama wewe nina uhakika sasa hivi ungekua ombaomba mtaani kama sio ushajikatia tamaa ya maisha.
Hiki nacho nikipaji aisee.Kama kawaida ya mwerevu huwa hakosi mbinu ya kukabiliana na changamoto. Nikatumia akili yangu ile ile iliniwezesha kupiga division 1 darasani na kuja na mkakati wa nini nifanye. So far maisha yanaenda vizuri niaajiri mpaka vijana ambao ni wazima kabisa na huwa najitahidi kutafuta watu wenye changamoto kama yangu na kuwasaidia kwa kuwaonyesha njia sahihi ya kupita maana najua exactly nini wanachopitia.
Tunapita kwenye changamoto tofauti but the end justfy the means. Embu fikiria fikiria unamaliza tu form 4 unabeba jukumu la kujitegemea. Baba na mama hawapo.😅😅😅Miaka 30 na A zako unatafuta ajira ,we kilaza kabisa ,mimi nimetoka chuo 23 nikatusua first batch nikaingia mzigoni...Wewe umekaa miaka saba mbele bado unaona ramani hazisomeki.
Leo unajiita tajiri ,hauna kumbukumbu ya ulichoandika nyuma acha kupiga nyeto 😅😅...Aina ya wasomi wajinga tuliokuwa tunaongelea ..
Kiufupi bado sana hata akili yako ,endelea kushobokea watu upate ajira .
Well Done BroTAtizo la masikio bado sijapona, licha ya kutafuta matibabu katika hospital kubwa ilishindika, niliambiwa so far hakuna tiba ya tatizo langu. Ni jambo ambalo lilinirudisha nyuma sana kitaaluma na kunikatisha kwenye masuala mengi sana
Kama kawaida ya mwerevu huwa hakosi mbinu ya kukabiliana na changamoto. Nikatumia akili yangu ile ile iliniwezesha kupiga division 1 darasani na kuja na mkakati wa nini nifanye. So far maisha yanaenda vizuri niaajiri mpaka vijana ambao ni wazima kabisa na huwa najitahidi kutafuta watu wenye changamoto kama yangu na kuwasaidia kwa kuwaonyesha njia sahihi ya kupita maana najua exactly nini wanachopitia.
Ukiwa na akili itakusaidia kwenye masuala mengi sio kupata division A tu darasani. Changamoto kama yangu ungekutana nayo kilaza kama wewe nina uhakika sasa hivi ungekua ombaomba mtaani kama sio ushajikatia tamaa ya maisha.
Punguza kiburi ,kuwa n kumbukumbu ..Kuna sehemu unahitaji msaada wewe vimba tu 🤣.Tunapita kwenye changamoto tofauti but the end justfy the means. Embu fikiria fikiria unamaliza tu form 4 unabeba jukumu la kujitegemea. Baba na mama hawapo.
kuanzia hapo nimefight mwenyewe kujisomesha, kutengeneza maisha yangu from nothing. Bado changamoto ya mawasiliano hapo. Ofcourse njia haiwezi kuwa rahisi au fupi. Kwa mapoto ya mwanaume kuanza kuona mwangaza akiwa 30's ni kawaida sana.
Hakuna popote niliposema mimi ni tajiri mdogo angu. Kumiliki nyumba, gari na kikampuni ambacho nimeajiri vijana 6 tu bado sijafika hatua ya kuitwa tajiri
Offcourse maisha ni kusaidiana, hakuna binadamu anajikamilisha kwa kila kitu. Kizuri ni kwamba sina shida ndogo ndogo kwenye maisha yangu. Hata kama tulipiga division A sisi sio invincibles kama mnavyotaka tuwe. Kuna sehemu pia tunakwama but we tackle our challenges smartlyPunguza kiburi ,kuwa n kumbukumbu ..Kuna sehemu unahitaji msaada wewe vimba tu 🤣.
Msalato Girls Morogoro?Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
Suala la connection ni janga la kitaifa. Mimi nina kiofisi changu hapa mjini unakuta ndugu ananifuata tu anaomba kazi bila kuleta CV au mpango wa kuonyesha output gani ataongeza, yaani anafikiri kwa sababu ni ndugu basi nitampachika tu.Bila connection yote ni bure, nchi ya ajabu sana hii