Kwa hiyo miaka 30 ulikuwa unatafut ajira🤣Offcourse maisha ni kusaidiana, hakuna binadamu anajikamilisha kwa kila kitu. Kizuri ni kwamba sina shida ndogo ndogo kwenye maisha yangu. Hata kama tulipiga division A sisi sio invincibles kama mnavyotaka tuwe. Kuna sehemu pia tunakwama but we tackle our challenges smartly
Mnaresearch Center hata moja ya Nuclear Physics?Hivi unajua hizi Radioactive Material zinavyo kuwa handled?Hii mada inarudiwa Kila baada ya muda humu.
Hoja hii ni Sawa na ile inayojengwa na Dotto Magari kuwa degree hazina maana yeyote kwakuwa wenye degree hawana hela!
Trust me, 80% za PhD Tanzania zimetoka shule hizo. 80% ya policy makers wamepita shule hizo!
Lakini liangalie kwenye context ya uchumi wa nchi husika! Tuna nuclear scientists Tanzania Mfano Mohammed Gharib Bilal aliyekuwa makamo wa RAIS, je wamegundua Nini kwenye nishati ya nuclear?
Una mazingira ya kuwafanya wawe wagunduzi? Hapa kwenyewe Mnaresearch Centers ngapi? Mnafikiri vitu vinaibuka kama uyoga bila kuwekeza.Hakuna serikali inaweza kuzuia kipaji cha mtu, hakuna ... Nchi kama Marekani inabebwa na watu wa nje ya siasa ,inafika kipind serikali inawafuata wengine ni raia wa nje wnapewa uraia kabisa.
Short and clear ,hawajafika level ya kuwa wagunduzi mpaka kushobokewa na serikali...wengi ni motivational speakers wanasoma masomo ya siasa ambayo hayana nafasi kwenye dunia ya leo.
Mheshimiwa Lissu alifaulu masomo yote ila akafuata mambo ya siasa,siasa ni mfumo sio private kwa nchi nyingi so hauwezi kuleta mageuzi ... Ubunifu wa kisayansi unamfanya msomi kuwa huru na kuonesha uwezo wake kwa factual information lakini masomo kama sheria ni manipulation ya kulazimisha batili kuwa haki na haki kuwa batili ,hqkuna cha maana.
Mheshimiwa lissu jwa uwezo wake akiendea masomo ya sayansi angekuwa na heshima kubwa sana ,ukiingia kwenye siasa lazima uwagawe watu kwa mlengo wa kisiasa , ndiyo maana leo anadharauliwa na kutukanwa na kina suphian na lucas Mwanshambwa.
Wivuuuuuuuuuuuuuuuuuu wivuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 😂it's just a privilege tuu kusoma huko, nothing special.
hakuna mbongo huko nasa alipitia hizo shuleAngalia mtanzania aliye NASA ni nani na katokea wapi....
Ndio uwezo wetu kwenye elimu zao. Elimu zao vipimo vyao, Labda wakitaka tu contribute MIHOGO tunaweza kuongoza globally.n kwel bhn wanafunzi waliosoma vipaji wanajiweza kiakili uo ndo ukwel tukatae tukubal........lkn licha ya ivo piah kuna wengne hawakwenda vipaji licha ya kuwa na marks za kuwapeleka huko......maana shule za vipaji n chache..........kuna wengne n vipanga lkn wakapelekwa private na kuna sisi wa kawaifa tuliosoma za kata............
ila wakuu tugange ya mbele tuamke aisee haiwezekani ninagoogle hapa wanasema AFRICA CONTRIBUTES 1.4 % TO THE GLOBAL SCIENTIFIC KNOWLEDGE
Ndio nini sasa kaka?hakuna mbongo huko nasa alipitia hizo shule
yuko mmoja aliesomea hukohuko
Wewe ndio uiweke hapa mkuu. na ushahidi kumaliza malumbano......Ndio nini sasa kaka?
Wapi wameonyesha elimu yake ya awali hapo?
Kupata alama za Juu pia ni kielelezo cha uzuri wa mwanafunzi.Hizo ni shule maalumu kwa waliopata alama za juu tu.
Kweli kabisa, kila mtu kwenye field yake anaweza kufanya innovation. Uwe dalali, bodaboda, mhasibu, mgavi, n.k unaweza kufanya innovation kwaiyo kabla ya kuwaangalia wengine jiangalie wewe kwanza umeongeza nini kwenye mchezo.
Mtu kama Jeff bezos yule ni winga tu alijiongeza na amazon yake
😀😀😀😀 wakina isaac newton walifanya gunduzi kibao bila kusomea degree popote
Kuita shule za vipaji ni makosa makubwa.Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na kuvumbua Mitambo na teknolojia za kipekee zenye mchango mkubwa ktk maendeleo ya kiuchumi kwenye nchi zao.
Hapa Tanzania mfumo wa Shule za Vipaji maalum umekuwepo kwa miaka mingi sasa.
Binafsi sikuwa na bahati ya Kujiunga na shule hizo hivyo nilitarajia pia kunufaika na Ubunifu/ innovations kutokana na kundi hili kubwa wenye vipaji Maalum/ special inteligence.
Tuna sekondari nyingi kama
1. Ilboru Arusha
2. Msalato Girls Morogoro
3.Mzumbe Boys Morogoro
4.Kibaha Boys Pwani
5. Tabora girls na Tabora Boys.
Ndio kusema Maelfu kwa Maelfu ya Wanafunzi waliopita humo hakuna hata wawili watatu walioonesha Ukipaji wao?
Tuseme basi Mtaji ni Mkubwa ku invest, hata Basi Kuwa Social influencer/ matumizi ya tech zilizopo je?
Tunaona Watu wenye elimu kiasi tu ndio wanaofaidi matumizi ya Technolojia na kunufaika na kuitangaza Tanzania.
Watu kama akina Maulid Kitenge, Kipanya, Zembwela, Diamond, Millard Ayo, Mwijaku, Baba Levo, Mobeto.
Angalau hawa hawakugundua chochote kama walivyo wale wa vipaji maalum ispokuwa wameweza kugundua matumizi sahihi ya teknolojia iliyopo.
Vipaji maalumu katika sekondari hizo ni vya mchongo au tunakwama Wapi?
Bonjour, Je M'apelle Bush Dokta habité à Makerere universite.
Bonvenué de discusio reun̈ion
ChaiZote zilikufa baada ya kushambuliwa na viongozi wa CCM na wa serikali ambao walipeleka watoto wao mazezeta. Tukumbuke kuna wakati walimu wa Msalato walilalamika kwa kupelekewa watoto wa viongozi wasiojua kusoma na kuandika, hata hivyo hukuna hatua zozote zilizochukuliwa hivyo zikajifia kibudu.
AiseeNishawahi kuwa na classmate alikua anameza kitabu aisee, namkubali akifika kwenye test au mtihani anamwaga kama aliscan, sasa hivi ni afisa mkubwa tu kule jwtz!
ChaiMdogo wangu ni kipaji maalum yupo form 2. Huwezi kumfananisha na average mwanafunzi wa form 2 hata wa shule ya private. Dogo anafanya coding na pia hizi vipaji maalum zina mfumo mzuri na walimu wazuri sana wa kuendeleza uwezo wa mwanafunzi.
Si kweli ,kwani wamefaulu vip ?Una mazingira ya kuwafanya wawe wagunduzi? Hapa kwenyewe Mnaresearch Centers ngapi? Mnafikiri vitu vinaibuka kama uyoga bila kuwekeza.
Hebu kafuatile gharama za Research Centers Ulaya ,ndipo utagundua huku bado ,sasa hivi bado tuna hangaika na matundu ya choo. IBM wana research center gharama yake ni 5B USD.
Utoto huu...View attachment 3265333
Hapa akinionesha project yake aliyoifanya likizo. Aliprogram arduino kufunguo mlango kwa kutumia sensor. Hilo box ndio kama mfano wa nyumba yenye huo mlango. Hii project yote shule yake imemsaidia na anaruhusiwa kwenda na vifaa vyake shuleni na kutumia kompyuta za shule.