Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya.

Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti.

Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za ajira ambazo utumishi wali tangaza majuzj hapa. Nafasi na mkufunzi, ukitazama iyo nafasi ni inamtaka mtu ambae ni msomi ktk kada ya utunzaji na uifadhi wa mali asili, iwe wanyamapori, Útalii,mazingira n.k fani zinazohusiana na maliasili
Lkn ajabu hapo utumishi wame highlight wapate msomi ambae ni community development, rural development, ambapo in reality sio expert wa mambo ya conservation ,

Kipitia nafasi hii hakika nimetilia shaka umakini wa mfumo wao.wanaotumia kupata watu.

Bila shaka wadau na nyie mtakuwa mna observation kuhusiana na mfumo wa sekretarieti ya ajira ktk utumishi wa umma.

Screenshot_20220608_034241.jpg
Screenshot_20220608_034314~2.jpg
 
Back
Top Bottom