Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa mkataba huu, hata Yesu akarudi bado huu mkataba utaendelea kuwamilikisha waarabu Bandari zetu.kama kweli ni kamati ya Bunge imetoa maoni na mapendekezo haya niwape hongera sana.mmeliokoa taifa na janga kubwa
d. Muda wa utekelezaji Mkataba huu haujawekwa bayana, bali Ibara ya 231) inasema kuwa ukomo wa Mkataba huu ni mpaka hapo shughuli zamradi huu zitakapokuwa zimekamilika. Serikali iombwe kutoa ufafanuzikuhusu jambo hili la ukomo wa Mkataba.
maana yake ni mkataba wa milele mpaka Yesu arudipo
Tanzania na Africa ya watu weusi hakuna cha wasomi wala nini. Wananunulika wote. Kuna mzalendo alishawai kusemaHuko twitter kuna video za kesi ya Migodi na wazungu dah hao maprofesa tunaosema nguli wanatia aibu kwakweli [emoji706]
Tafadhali nakuomba tuheshimiane, mimi sina urafiki na wewe wala mjinga mwenzako yeyote yule.
Shika adabu yako.
Point of corrections......
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Kwani ule mkataba unaotembea mitandaoni hapo awali uliwekwa kwenye tovuti ya bunge?Document haipo kwenye tovuti ya Bunge
JF is the first place to share that document. Huko kwingine utaona baadaye wakiweka.Mbona sioni web site or any other social media wamepost ? Jamani jambo hili ni zito sana tunaomba mwenye taarifa zaidi apost humu jamvini haraka !
Palenga chibite.Palenga ntane kale nabo!
wapinge na hiiHili sio la kuamini sana, wanaweza wakaja wakapinga, hata kama wao wametoa, ilimradi tu wasionekane wameshindwa. Sasa kutumia nguvu kote waje wakiri baada ya kelele nyingi?
Dadeeeki hahaahahaaaS
Simbilisi no.1 Jerry Slaa na kidigree chake cha mchongo.
Amesoma lakini haelewi.
Na inaeleke Tulia ,akili imeanza kumrudia kichwani.
ngoma inazungmziwa South africaNajaribu kufikiria namna ya kuvunja makubaliano (mkataba) ambao tayari umesha sainiwa na pande zote mbili.
Je, itakuwa ni kirahisi rahisi tu?
Kwa huo utumbo uiouleta ambao hauna tarehe wala saini?
Unatupotezea muda, tunafikiri cha maana, kumbe uharo.
Hapo hata data siwashi. Wadanganye wajinga wenzako.