Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

kama kweli ni kamati ya Bunge imetoa maoni na mapendekezo haya niwape hongera sana.mmeliokoa taifa na janga kubwa

d. Muda wa utekelezaji Mkataba huu haujawekwa bayana, bali Ibara ya 231) inasema kuwa ukomo wa Mkataba huu ni mpaka hapo shughuli zamradi huu zitakapokuwa zimekamilika. Serikali iombwe kutoa ufafanuzikuhusu jambo hili la ukomo wa Mkataba.

maana yake ni mkataba wa milele mpaka Yesu arudipo
Kwa mkataba huu, hata Yesu akarudi bado huu mkataba utaendelea kuwamilikisha waarabu Bandari zetu.
 
Pongezi kwa Sekretarieti ya BUNGE kwa kuyaona Mapungufu ya Mkataba wa CCM na DPW

Kazi iendelee
 
Kwa skendo hii nii vyema serikali ikaachia ngazi. Haina tena uhalali wa kuendelea kuongoza nchi hii tena.
 
Hili sio la kuamini sana, wanaweza wakaja wakapinga, hata kama wao wametoa, ilimradi tu wasionekane wameshindwa. Sasa kutumia nguvu kote waje wakiri baada ya kelele nyingi?
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea

Mbona sioni web site or any other social media wamepost ? Jamani jambo hili ni zito sana tunaomba mwenye taarifa zaidi apost humu jamvini haraka !
 
Hili sio la kuamini sana, wanaweza wakaja wakapinga, hata kama wao wametoa, ilimradi tu wasionekane wameshindwa. Sasa kutumia nguvu kote waje wakiri baada ya kelele nyingi?
wapinge na hii

Kwa huo utumbo uiouleta ambao hauna tarehe wala saini?

Unatupotezea muda, tunafikiri cha maana, kumbe uharo.

Hapo hata data siwashi. Wadanganye wajinga wenzako.
 
Mkuu ukisoma sehemu ya 5, unaona kuwa bunge limehitaji ufafanuzi toka serikalini kwa lugha laini...

5.0. Maoni na Ushauri Kutokana na uchambuzi tuliofanya hapo juu, ni maoni na ushauri wetu kuwa, Bunge lipate ufafanuzi kutoka Serikalini katika maeneo machache yafuatayo: (Hayo uliyotaja)...

Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
 
Mpaka sasa hakuna Media inayozungumzia hii ishu ni hapa JF tuu. anyway, nataman kilichosemwa hapa kiwe kweli
 
Back
Top Bottom