Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

NAWAPONGEZA CCM WALAU KWA HATUA HII. NI HEKIMA MKUBWA UKIVULIWA NGUO, CHUTAMA NDIO UUNGWANA. NAMSHANGAA MNO MZEE WASSIRA. LIZEE HOVYOO! HANA HEKIMA. JE, HAWAONI WAZEE WENZIE AKINA WARIOBA, PROF. ANNA, SHIVJI. UNAJUA KUNA MAMBO UNATAKIWA KUWAACHIA AKINA KITENGE, ZEMBWELA. NA WEWE MZEE? HOVYOO!
WEWE MZEE WASSIRA WAKATI NI UKUTA STAAFU, JE, HUWAONI WENZIO? UMEJIAIBISHA MNO JUU YA SUALA LA BANDARI. SIJUI HATA HIZO NGUVU ZA KUZUNGUKA NCHI NZIMA NA VIJANA UNAZITOA WAPI. SHAME TO YOU!
Huyo Wasira, ni zee takataka. Wananchi wa Bunda waliuona uwendawazimu wake, wakaamua kulipumzisha. Kuna majitu huamua kumalizia historia zao kwa uchafu.
 
Mambo haya si ndio walipitisha kwa haraka haraka kina Lusinde na kusema Mbowe mwehu? niliwahi kusema Think Tanks za nchi hazitakiwi kuwa failures mkashupaza shiiingo, sasa wale chawa wa wasasafi na kina musukuma wana uwezo hata wa kujua kwamba huu utopolo waliopitisha ndio ume back fire? KAAZI KWELI KWELI.
 
Wale wabunge hawana sifa ya kujadili jambo lolote Tena Katika nchi hii.

Maandamano ya kuwatoa kwenye Lile jengo ni muhimu sana.

Waliwahi kuhongwa kwenye Sakata la Jairo na Tanesco.
Wabunge wanaohongwa Ili wailazimishe Serikali kuhujumu nchi ni Hatari sana.

Waziri mkuu ajiuzulu na wale wabunge waondolewe pale .

Woga Wa watanzania ndio Nguvu ya Wezi.
Sasa Ujasiri Wa Watanzania utawafukuza Wezi.
Ujasiri !!
When and how ??!! 😅😅🙏🙏
 
Mkataba haupo sawa sioni hoja ya Uzanzibar na Utanganyika maana vilivyouzwa na Watanganyika vipo vingi sana pia..nadhani tunakosea kuleta Ubara na Uzanzibari kwenye jambo la msingi mimi napinga huko Mkataba hata walekebishe muda hakuna mkataba wa hovyo wa namna hiyo watangaze harafu makampuni yaombe litakaloonekana linafaa na limekubaliana na matakwa ya Nchi ndio lipewe kazi sio kuteua tuu kampuni kwenye mambo ya Msingi kabisa na ukiwaambia hawataki hata kusikia pana nini hapo?
 
Wakina Kitenge na Zembwela wameshakula advance ya mwarabu, mtawabeba kwa mbeleko gani sijui..
 
Wakina Kitenge na Zembwela wameshakula advance ya mwarabu, mtawabeba kwa mbeleko gani sijui..
Sasa hao wahuni wanajua nini mambo ya mikataba ya kimataifa sisi tunakwenda shule hao wahuni wanaenda Beach walikua hawajui hata shule kinafanyika nini leo hii wao wawe waamuzi kwenye mambo ya msingi si utani huo huyo Zembwela ndio hamna kitu bora hata mtungi wa gesi ulio Tupu huwa siwezi kuwasikiliza kwenye ishu muhimu labda vichekesho...
 
K.m unaongelea ishu ya profesa kwenye kesi ya madini, ile ni hoja nyingine ila kwa hii IGA ya DPW, chanzo cha sisi kushindwa huko mbeleni ni jinsi IGA ilivyokuwa drafted sentensi moja Inakuwa na maana pana,hivyo kutoa mwanya wa kushindwa kwenye kesi huko mbelene na TLS wameiandika kwenye document yao ya mapendekezo na jinsi inavyopasa kuwa kujiondoa kwenye mtego huo

Sasa kawanini Samia ameziba masikio hataki kufanya kama anavyoshauriwa na wataalam? Wananchi wakisema she is corrupt kwa kula hongo za Waarabu ndio maana anashindwa kuufuta huo Mkataba watakuwa wamekosea?
 
Muda utaongea...
It will be too late!! Itakuwa kama hivi Sasa nchi inafilisika kwa kulipa mabiilioni ya shilingi kutokana na madai yaliyotokana na mikataba ya kijinga kama huu! They were warned but they didi not take heed na matokeo yake ni to impoverish the poor peasants who will bear the burden by taxing them even more!
 
Kodi ya majengo wameongeza by 50% ili kulipa fidia kesi za ICSD
 
Wenye nyumba wanawabebesha huu mzigo tenants wao na Maisha yanazidi kuwa magumu!
Kwahiyo ulitaka kukaa kwenye nyumba ya mtu bila kulipa kodi? Kodi siyo rent tu, hata kodi ya jengo ulilopanga inakuhusu
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom