Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Hauna lolote, huu ni uongo mtou.

Hauna chochote nawadanganye wajinga wenzako.

Wajinga ndiyo waliwao.
Hahahahaa Faiza kama Faiza, sema unataka kuziona, nimeanzisha uzi ili zitumwe, nitaku-tag wala usihofu
 
Habari ziwafikie Sheikh Mwaipopo na kitenge
 
Inshort Sekretalieti ya Bunge imegusa mulemule ambapo wadau wamekuwa wakisema! na sio kama wapate ufafanuzi ila waishauri Serikali iachane na mkataba huu kabisa ikirudi irudi tena mchakato uanze upya kabisaa.
Kuna kila dalili za kuukana huu waraka
 
Mkuu asante ila ujue sekreterieti ya bunge siyo bunge
 
Title na No.1 havijakaa vizuri,ila tumemuelewa.Hata hivyo rekebisha No.1,najua title ni vigumu.
 
Hahahahaa Faiza kama Faiza, sema unataka kuziona, nimeanzisha uzi ili zitumwe, nitaku-tag wala usihofu
Hauna lolote, wewe unajibaraguza tu.

Umeshelewa jamvini karamu imeshaliwa.


Mkumbo hajatangaza mikataba ya uendeshaji bandari leo?


Maana ni mikataba, siyo mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…